SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 49,975
- 75,059
Huyu mbwiga kazi yake kuhamisha magoli tuUlikuja na uzi kuwa hawezi kushinda tuzo ya goli bora afrika sasa kashinda unaanza kuuliza ana goli ngapi, huyo mayele mwenye goli nyingi mbona kiatu hajapewa?
