Boxer mbili pikipikiToyota Cami
no..... BNN
automatic gear
cc 1290
Price ml 2.6,m
View attachment 1979644View attachment 1979645View attachment 1979646View attachment 1979647
Bora mtu ajichange na kuzama show room au kuagiza. Zilizotumika/zinazotumika hapa bongo hazifai hata kwa kulumangia. Nyingi zimepigwa rangi ili kufanikisha danganya toto.Gari zote ni seconds hand hapa Tanzania.
(Zinatumika/zimetumika hapa tz)
Swali zuri sana kwani wale mbumbumbuu wa magari wanaumizwa haswa.Boss hizi gari zote unatoa Japan moja kwa moja na kuziuza hapa au nyingine unazitoa hapa hapa?
Zote mileage ni 64000km au chini, zaidi ni low mileage. Ni kweli?
Mkuu maamuzi ni yako tu na uwezo wako pia.Bora mtu ajichange na kuzama show room au kuagiza. Zilizotumika/zinazotumika hapa bongo hazifai hata kwa kulumangia. Nyingi zimepigwa rangi ili kufanikisha danganya toto.
Gari sio Kama online product/business kwamba unatumiwa bidhaa ambayo hujaikagua.Swali zuri sana kwani wale mbumbumbuu wa magari wanaumizwa haswa.
Usiwajibu watu kama hawaGari sio Kama online product/business kwamba unatumiwa bidhaa ambayo hujaikagua.
Unaumizwaje kwenye hilo?
Anyway tusiokua nacho tuna maneno ya kuvunja moyo sana.
Kila la kheri