Pitia mchanganuo huu wa Pesa za Wabunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pitia mchanganuo huu wa Pesa za Wabunge

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bajabiri, Jun 15, 2011.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mshahara wa mbunge ni sh 2,300,000/=,posho ya kila mwezi ni mil 5,pesa ya kujikimu (per-diem) 80,000/=wakiwa kwenye vikao vya kamati zao,na pia sitting allowance nis shilingi elfu 70.
  Kwa kawaida kila mbunge hulipwa shil 7.3 mil kabla ya kukatwa kodi wakiwa.Wakiwa dodoma na dar kwa ajili ya kamati zao hulipwa shilingi 150,000/=ambapo elfu 80 kama per-diem na elfu 70 kama sitting allowance.
  Hivyo basi BUNGE linatarajiwa kutumia sh 1.788 bil kwa kugharamia vikao 73 vya bunge hili la bajeti iwapo wabunge wote 350 watahudhuria.
  Pia kila mbunge atabeba sh 5.1 mil mbali na sh 5.58 mil ambazo ni malipo kwa ajili ya kujikimu,pesa ambazo ni mbali na mshahara wake kwa mwezi na posho ya ubunge
  SOSI:MWANANCHI LA LEO
   
 2. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  waache watoe shavu, wakijaa mafuta ndo yatakaowachoma moto
   
 3. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Halafu bado wanalilia posho za vikao bungeni! Ulafi na ubinafsi ndio vinavyowasumbua! Mwisho wao umekaribia...!
   
 4. G

  GJ Mwanakatwe JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 241
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndiyo maana kila mtu anataka kuwa mbunge, vyuoni wahadhiri hakuna,ni wabunge, hospitali madaktari hakuna,ni wabunge, na kila fani. hii ni hatari sana kwa maendeleo ya nchi. fedha zipunguzwe zibaki za kawaida ili watu waache kukimbilia huko kuwezesha kada nyingine kufanya kazi kwa ufanisi.
   
 5. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Mie nadhani wakipewa perdiem haina maana kulipwa tena 'sitting allowance'.
  Kama hizi data ni kweli basi wanasiasa wetu wote wamekuwa wakiwaibia wananchi; hii ni pamoja na wale wanaojidai kuzilataa sasa hivi.
   
 6. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,587
  Likes Received: 82,209
  Trophy Points: 280
  Ubunge umeshakuwa mtaji mkubwa ndio maana kila mtu anataka kukimbilia huko ili akagange njaa na ukwasi uliokithiri katika nyingi ya ajira za bongo.
   
 7. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Thats why ni vigumu kuwaamini hawa watu kwamba wapo pale kutetea wananchi; mi naona ingekuwa bora ubunge uwe ni kazi ya wito, na walipwe pesa ndogo kama wananchi wengine kama hawataki waache... wapo watakaokwenda.

  Nadhani mtu akigombea Ubunge kwa ahadi kwamba nitachukua pesa za kima cha china na bila any marupurupu he will get my vote and many other Tanzanians who think like me
   
 8. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #8
  Jun 15, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  lazima kila mtu apende kuwa mwanasiasa.
   
 9. A

  Aine JF-Expert Member

  #9
  Jun 15, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ndio maana wanatoana ngeu kipindi cha kampeni za uchaguzi na uchakachuaji kibao!!!!!! ahsante sana Bajabiri kwa kutuhabarisha maana wengine tulikuwa blind on that
   
 10. k

  kazuramimba Senior Member

  #10
  Jun 15, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nyie mbona wanafki hivyo kama huu mshara wewe hupati si bora unyamaze tu.Wenzio wanaranda mbao halafu wewe umekalia kuranda majungu tu. Kuna mambo mengi ya kupigia kelele kama mikataba mibovu ya umeme na migodi.
   
 11. A

  AZIMIO Senior Member

  #11
  Jun 15, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mshahara wa mbunge ni sh 2,300,000/=,posho ya kila mwezi ni mil 5,pesa ya kujikimu (per-diem) 80,000/=wakiwa kwenye vikao vya kamati zao,na pia sitting allowance nis shilingi elfu 70.
  Kwa kawaida kila mbunge hulipwa shil 7.3 mil kabla ya kukatwa kodi wakiwa.Wakiwa dodoma na dar kwa ajili ya kamati zao hulipwa shilingi 150,000/=ambapo elfu 80 kama per-diem na elfu 70 kama sitting allowance.
  Hivyo basi BUNGE linatarajiwa kutumia sh 1.788 bil kwa kugharamia vikao 73 vya bunge hili la bajeti iwapo wabunge wote 350 watahudhuria.
  Pia kila mbunge atabeba sh 5.1 mil mbali na sh 5.58 mil ambazo ni malipo kwa ajili ya kujikimu,pesa ambazo ni mbali na mshahara wake kwa mwezi na posho ya ubunge
  SOSI:MWANANCHI LA LEO
   
 12. A

  AZIMIO Senior Member

  #12
  Jun 15, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Asante kwa uchambuzi mzuri,lakini kama ni hivyo vp wale ambao tayari wana pesa? au wale wana nia ya kweli kusaidia wananchi?.
   
 13. M

  Mkandara Verified User

  #13
  Jun 15, 2011
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Kwa wale wasiojua maana basi waelewe hili ndilo lilikuwa lengo la Zitto. Wananchi wapate kufuatilia hizi posho na kujua wanaliwa kiasi gani. Haitoshi hao hao wabunge wepesi kzungumzia Ufisadi na kujivua chama magamba wakati magamba wanayo wao wenyewe na sii chama.
   
 14. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #14
  Jun 15, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Nakumbuka kuna mwana jamvi aliwahi kuuliza mapato ya mbunge ni kiasi gani sikumbuki kama jibu lilijibiwa lakini sasa mambo wazi wazi.....
   
 15. Wanitakiani

  Wanitakiani JF-Expert Member

  #15
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 18, 2008
  Messages: 644
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kumbukeni pamoja na perdiem na sitting allowance kuna 25,000/- kama transport allowance, hivyo jumla ni Tsh. 175,000/- na si 150,000/-. Hapo kuna jimbo allowance na mailage havikuhesabiwa. Ndio maana kila mtu anakimbilia Bungeni wazee, watoto kila mtu mbio ni mjengoni!
   
 16. matungusha

  matungusha JF-Expert Member

  #16
  Jun 15, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  i always say that we should have to start a reform movement and CDM is our redeemer ....
   
 17. Bundewe

  Bundewe JF-Expert Member

  #17
  Jun 15, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 401
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hizi figure zinatia hasira sana! Mnaonaje tuingie mtaani kumuunga mkono Mhe. Zitto
   
 18. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #18
  Jun 15, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hapana. kwa wafanyakazi wale laki3 ambao JK et al hawana mpango na kura zao waache tu kwenda kazini wiki moja wakae nyumbani.
   
Loading...