Huo ni mda waliojiandikisha watu wengi sana
Inabidi usubiri tu mkuu
Normally ni miez mi3 mpaka minne
Basi hyo ni shida
Umejaribu kujaza apo juu??
Hivi namba ndiyo kitambulisho?
mimi nilijiandikisha november 2017 ndio nmeipata wiki mbili zilizopitaKuna watu wamejiandikisha na wana zaidi ya miezi sita, hawajapata kitambulisho wala namba ya nida
Mimi ilinichukua miezi mitatuNimesubscribe kabisa..inachukua muda gan kupata namba baada ya kukusanya form?
Mtandao gani??Ukijisajili kwa namba SMS hawatumi eti mpaka uwe na kitambulisho cha original
Yote tigo na halotelMtandao gani??
Duuuuh pole sanaYote tigo na halotel
[emoji2][emoji2][emoji2]Nitakuja niwasaidie pia njia rahisi ya kupata namba ya nida