Pitia hapa kupata namba ya NIDA kirahisi

Pitia hapa kupata namba ya NIDA kirahisi

Kwa wasio na smartphone je?

Njia rahisi zaidi ni kuchukua simu yako ya mkononi unabonyeza *152*00# then itakuja MENU. Chagua 'Ajira na Utambuzi' then 'NIDA' halafu unaendelea kufuata maelekezo.

Kumbuka kuwa na Shilingi mia ktk simu (laini) yako.
 
Mkuu hiyo njia ni sawa na kubeti, unaweza upate au usipate. Unaweza kuwa umejisajili kabisa na kitambulisho unacho ila ukicheck kwa hiyo namba unaambiwa taarifa hazipatikani
Jaribu tena mwamba utupe majibu

Ova
 
oooo sawa na ukijaza hiyo fomu inachukua muda gani kupata namba za kitambulisho au kitambulisho chenyewe,
Hii inawahusu walojaza fomu na kusajiliwa kabisa katika system na kuchukuliwa Fingerprints zao.
 
Mbona wananiambia nihakiki taarifa zangu nilipojiandikishia
Kwa kawaida baada ya kujiandikisha ili kupata namba ni baada ya wiki3 na kuendelea.
Umeambiwa hivyo bilashaka namba yako bado haijatoka au umejaza taarifa tofauti na ulizoandikisha.
 
Back
Top Bottom