Pitia hapa kupata namba ya NIDA kirahisi

Pitia hapa kupata namba ya NIDA kirahisi

Mbona taarifa zangu hazipatikani tu nakosea wapi?

Nimeingiza Kila aina ya jina na mwaka wa kuzaliwa pengine labda nimekosea kimojawapo lakini hakna kitu,nimejaribu mpaka ile namba yao mpya waliyoitoa lakini wapi.

Please afisa yeyote wa nida alieko humu ndani anisaidie
Zanqni namba ilikuwa inafanya kazi ghafla haifanyi kazi kwa sasa

Yaani haipo je Nani anakumbana na shida hii
 
Back
Top Bottom