Rusumo one
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,545
- 4,480
Acheni pls Ni utapeli huu source Ni reliable RM Nida wa mkoa nilipo
Nimejiridhisha kwa kuingia kwenye website yao na kudownload kabsa copy ya kitambulisho changu.Jiridhishe kama hiyo namba ni yako kweli, nimekutana na watu zaid ya wawili wametumiwa namba sio zao na hazifanyi kazi
Kuna watu wamejiandikisha na wana zaidi ya miezi sita, hawajapata kitambulisho wala namba ya nidaUkweli ni UPI
Mkuu hiyo ni kawaida, nimezungumzia kupata namba ya NiDA na sio kupata kitambulisho cha NIDA.Kuna watu wamejiandikisha na wana zaidi ya miezi sita, hawajapata kitambulisho wala namba ya nida
Mimi nilijiandikisha tangu mwakajana mwezi wa kwanza mpaka sasa kitambulisho hakijatoka sijui nitasubiri kwa miaka mingapi!?Kuna watu wamejiandikisha na wana zaidi ya miezi sita, hawajapata kitambulisho wala namba ya nida
Hata namba sijapata hadi jana nilipo angalia kwa simMkuu hiyo ni kawaida, nimezungumzia kupata namba ya NiDA na sio kupata kitambulisho cha NIDA.
Sio kweli kwamba ukisha jiandikisha na baada ya wiki tatu unaweza ukaipata namba ya kitambulisho cha nida.Ukweli ni UPI
Mkuu nami Nina mifano hai, ndani ya wiki3 Mtu kapata nambaSio kweli kwamba ukisha jiandikisha na baada ya wiki tatu unaweza ukaipata namba ya kitambulisho cha nida.
Tunayo mifano hai na watu wapo walio kaa zaidi ya mwaka tangu walipo jiandikisha na hawajapata hata namba za kitambulisho, achilia mbali kitambulisho chenyewe
Nenda ofisini, kahakikisheMimi mpaka leo sijapata namba na nimejiandikisha tokea mwezi wa tisa nimejaribu kuangalia kwa ile njia ya kawaida eti sms wananambia taarifa za usajili hazijapatikana nimejaribu hii nayo hola du sijui ata nifanyaje
Kuna watu wamejiandikisha na wana zaidi ya miezi sita, hawajapata kitambulisho wala namba ya nida
Mimi mpaka leo sijapata namba na nimejiandikisha tokea mwezi wa tisa nimejaribu kuangalia kwa ile njia ya kawaida eti sms wananambia taarifa za usajili hazijapatikana nimejaribu hii nayo hola du sijui ata nifanyaje
Mana kama hujajaza form huwez kuiata namba
Ndugu yangu sasa kama hujajaza fomu namba yako wataichukua wapi?hii inawahusu waliokwisha jaza ile fomu au hata wale ambao bado???
Aisee kweli eeh?Jiridhishe kama hiyo namba ni yako kweli, nimekutana na watu zaid ya wawili wametumiwa namba sio zao na hazifanyi kazi
Sasa si ndio useme wewe huo ukweliSio kweli mkuu
Ndugu yangu sasa kama hujajaza fomu namba yako wataichukua wapi?
Huo ni mda waliojiandikisha watu wengi sana
Inabidi usubiri tu mkuu
Normally ni miez mi3 mpaka minne
Nenda ofisi uliyojiandikisha ukaangalie kama namba yako imetoka, kama bado uliza kwa maafisa wa nida upewe maelezo.Kinachonitisha ni kule kunambia Taarifa za usajili hazijapatikana. Afu kuna wengine wameenda baada yangu wamepata