Pita Pita za Fataki mtaani

ELNIN0

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
4,161
1,460
Fataki (50) likikatongoza katoto kadogo lilikokanunua simu juzi juzi (Blackberry) - kanasoma shule moja (jina kapuni) kidato cha kwanza (15)

(ANYTIME.)..

Fataki: I bought you an expensive phone for what purpose remember? (Sauti ya besi ya ki utu uzima)
Girl: Four easier communication with me honey! (Sauti nyembamba ya kiusichana yenye woga)
Fataki: What time do I have to call you?
Girl: Any time as u wish dear
Fataki: But last time when I call u in the morning u didn't pick up?
Girl: I was sleeping.
Fataki: OK; when I try to call you around 11:am u didn't pick up?
Girl: I was shopping with my mother
Fataki: So, when I try to call you around 2-3 u didn't pick up?
Girl: I was tired and relaxing.
Fataki: Then what about 5 PM?
Girl: I was watching a cartoon.
Fataki: So, then why didn't you pick u phone in the night?
Girl: I was studying
Fataki: Ok then tell me which time is the most convenience time for you to talk.
Girl: Anytime.

Duh ama kweli Mafataki mna kazi nzito.
 
Fataki ana mbinu nyingi akiamua atampata popote kwani Fataki hachoki mpaka apate alichotaka.Nadhani hako katoto nako kanapenda.
 
Fataki ana mbinu nyingi akiamua atampata popote kwani Fataki hachoki mpaka apate alichotaka.Nadhani hako katoto nako kanapenda.

haka katoto hakana kosa ni kwamba kamevutiwa na simu kali - au ndiyo hicho kiherehere wanachoita wataalam?
 
Dalili zinaonyesha mtoto mjanja na uwezekano wa Fataki kupata kitu hapo hamna aidha achukue simu yake au akubali kazidiwa kete na kusamehe simu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom