Pita hivi

Pita hivi

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,270
Reaction score
29,939
95e63bac16a121502e2cd756bc4a94fc.jpg
 
Hahahahah nimekupenda bure mtoa mada, hii iwe ni taarifa kwa wazandiki na vizavizabina na masadist woooteee wa humu JF.... hahahaha ujumbe murua kwao

Imooooooooooo!!😉😉😉
Eti imooooo,imo nini kasie?
 
Hahahahah nimekupenda bure mtoa mada, hii iwe ni taarifa kwa wazandiki na vizavizabina na masadist woooteee wa humu JF.... hahahaha ujumbe murua kwao

Imooooooooooo!!😉😉😉
Avache
 
Kupeana ujumbe murua ili wahusika au walengwa waimeze iwakae sawasawa hehehehehehee

Imooooooooooo hata JF
Lakini Kasie hapa umenichanganya!!... mara imooooo!...yaani imeshaingizwa ivo.. mara waimeze!...yaani ka vile ice cream flan ivi... mara iwakae sijui katikati!.. sijui sawasawa!.. ni nini iyo?😵!...
 
Hivyo hivyo......

Hiyo ya kuwaambia kuwa wanapo mfukunyuzi mtu basi huyo mtu ni bora zaidi yake yeye anayemfukunyua.
 
Kuna wanaojiita Makapuku wanasemwasemwa sana...ina maana wao ni bora?

Mtoa mada ndo ajibu hili kama huu ujumbe pia makapuku wanahusika.

Mie nimepigia mstari tuu kuweka na kuonesha msisitizo kuwa yule anayehangaika kumaliza bando lake kumfukunyua mwenzie na kumpakazia maneno ya husda basi ajue kuwa anazidi kumpaisha huyo amsemaye na pia moja kwa moja huyo anayemfukunyua ni bora au yuko juu au ni better of kumzidi yeye mfukunyuaji.

Hehehehehehe acha nafurahi mie tabasamu nilizaliwa nalo looh 🙂🙂🙂
 
Hahahahahaha yeye kajazia nilishakijua chathuu thiku nngi.
Kuna muda nilikujaga hapa nikawa naandika kwa Lafudhi hii

wee nilishambuliwa acha tuu

Ngoja ntaanza tena

Ikioa Ufuma Hio....??
 
Mtoa mada ndo ajibu hili kama huu ujumbe pia makapuku wanahusika.

Mie nimepigia mstari tuu kuweka na kuonesha msisitizo kuwa yule anayehangaika kumaliza bando lake kumfukunyua mwenzie na kumpakazia maneno ya husda basi ajue kuwa anazidi kumpaisha huyo amsemaye na pia moja kwa moja huyo anayemfukunyua ni bora au yuko juu au ni better of kumzidi yeye mfukunyuaji.

Hehehehehehe acha nafurahi mie tabasamu nilizaliwa nalo looh 🙂🙂🙂
Sawa
 
Kuna muda nilikujaga hapa nikawa naandika kwa Lafudhi hii

wee nilishambuliwa acha tuu

Ngoja ntaanza tena

Ikioa Ufuma Hio....??

Haie nethimanya hicho, imi si mwathuu ni mcharoo. Nakithikija kidori tuu...

(Usicheke kwanguvu, cheka pekeyako hehehh)
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Back
Top Bottom