pita hapa

pita hapa

deprettyG

Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
42
Reaction score
2
jamani naomba kuuliza,,secretary na tourism ipi kozi yenye manufaa zaid na ipo kwenye soko la ajila!!naomba kujuzwa tafadhali
 
Zote nzuri ila Utalii inawigo mpana kujiajiri
hata mwenyewe lakini sekretari nayo waweza
fungua shughuli zako.
 
Soma Tourism lakini ningekushauri sana ukasome pale Tandika, Bandari College!! Hivi vyuo vya Kariakoo wapo kibiashara zaidi!
 
sina hakika kama tanzania kuna kozi inayolipa na ni nzuri zaidi ya siasa. ila katika hizo soma secretary maana utanufaika na mengi.
 
Back
Top Bottom