Pisi zitaniua

Pisi zitaniua

DR SANTOS

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2019
Posts
14,026
Reaction score
31,609
Yaani wakianza kuomba hela, wanaomba wote kwa mara moja😀 utadhani ni wameambizana na hawajuani. Hapa nina mizinga kama mitano, sijui nianze na upi niache upi.

Nimegundua ukiendekeza hizi mambo za kuhonga hamna hatua ya maisha utapiga, bora nyeto😬.
 
Yaani wakianza kuomba hela wanaimba wote Kwa mara moja utadhani ni wameambizana na hawajuani. Apa nina mizinga kama mitano sijui nianze na upi niache upi

Nimegundua ukiendekeza hizi mambo za kuhonga Amna hatua ya maisha utapiga
Bora nyeto
Lazima utazituma tu. Kwasababu now uko possessed. So unaweza kujikuta umewatumia na usijue umewatumiaje.

Nakumbuka kuna siku , picha ya dem ilikua ikizunguka akilini mwangu sana....nikajikuta nimemtumia kiwango kikubwa sana cha pesa , yani mpaka leo sijuagi niliitumatuma vipi ile hela!

#KundaliniSpirit
 
Lazima utazitumia tu. Kwasababu now uko possessed. So unaweza kujikuta umewatumia na usijue umewatumiaje.

Nakumbuka kuna siku , picha ya dem ilikua ikizunguka akilini mwangu sana....nikajikuta nimemtumia kiwango kikubwa sana cha pesa , yani mpaka leo sijuagi niliitumatuma vipi ile hela!

#KundaliniSpirit
😀😀😀Yaani ulituma bila kuombwa
 
Aiseee
20221225_220905.jpg
 
Yaani wakianza kuomba hela, wanaimba wote kwa mara moja😀 utadhani ni wameambizana na hawajuani. Hapa nina mizinga kama mitano, sijui nianze na upi niache upi.

Nimegundua ukiendekeza hizi mambo za kuhonga hamna hatua ya maisha utapiga, bora nyeto😬.
Mpe wa kwanza kuomba.Ngono uleta umasikini.
Ngono haijawahi kupatikana bure tangu kuumbwa kwa Dunia.
 
Back
Top Bottom