Pisi kali alafu mwenzio anainyanyasa sijui nimchukue

mmmuhumba

JF-Expert Member
Nov 8, 2017
491
476
Jamani kweli uzuri wa mtu upo kwenye macho ya mtu, yaani unakuta mwanaume mwenzio ana mchuchu mkali yaani pisi kali ile mbaya laa ajabu anamnyanyasa ile mbaya.
Dah! Alafu mchuchu unamtokea anakwambia nina mtu eti nmechelewa.
Sasa kwa mateso yote anamtu ana futu.
Dah! Sio poa kabisa, jamani tuache utemi mbuzi tuwatunze wanawake zetu aisee, hata kama ni malaya, unapaswa kuheshimu mtu akupaye usingizi na kulea ndoto zako na watoto wako.
textgram_1673125164.jpg
 
umesema hata kama ni malaya nimuheshimu? au nimesoma vibaya
 
Jichanganye uone moto wake we si ndo unataka kuonekana et unajali wakati wao wenyewe hawajui ata wanataka nini utakuja kujua hujui
Ndio maana kuna maeneo unakuta vikesi kibao vya watu kukimbiwa na wake zao
 
Mahusiano Mengi Ili yadumu unatakiwa uwe mbabe. Wanawake wakibongo ukileta mambo ya romantic (filamu za Spain)utalia. Huyo Mwamba anajua kucheza nao.
Hapana, kupiga mwanamke uchi na tena na mlanga (fimbo), hapaswi kutoka nje, unampiga ngumi za macho, binti wa watu kaumuka, hivi akiwa ni binti yako utakubali Magoya2000, msimamo haupaswi kuwa ni vitendo vya ukatili wa kijinsia.
 
Back
Top Bottom