PISHI: Wali mixer by tambi

Jitahidi ule vizuri wali na tambi ni Wanga tu huyo kuku ndio protein inayojenga mwili jitahidi uwe unakupika kuku nusu sijapenda kabisa hii kipande kimoja kama . Moja
 
Jitahidi ule vizuri wali na tambi ni Wanga tu huyo kuku ndio protein inayojenga mwili jitahidi uwe unakupika kuku nusu sijapenda kabisa hii kipande kimoja kama . Moja
Ahhaha nimetoa vipande viwili af kuku alichelewa kuyeyuka nilikuwa nimemuweka kwenye jokofu
 
Mdogo angu Mwachiluwi andaa site tufungue restaurant tu, me naweka Mtaji wewe unaweka ujuzi

Kama wateja tayari tumepata humu humu.

Kwa maana nimepitia maoni ya Wadau humu,

Wengi mate yamewadondoka Kwa hayo masoltojo πŸ˜‹πŸ˜‹

Ila kusema kweli, sijawahi kula mseto wa aina hiyo pamoja na kwamba nimekula chumvi nyingi πŸ€—
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…