Pindi la week: Simu ya Mpenzi

😂Exactly sio kila muda tu anashika simu yako
Waw! Hiyo ndo inaitwa Tahadhari kabla ya Hatari. Jambo dogo tu kwa Me linaweza kuwa ni kubwa sana kwa Ke na hapo ndo kila kitu kinaanza kuwa "pangaru-pangaru"
 
Asee atakachokuta atajua mwnyw..simu yangu n out of bound..mayb km hajalia cku nyingi bs achukue tuu😂
 
Mimi kumpa simu yangu
Ndio kuweka mahusiano reheni kipv yaan 🤣
Iko hiv: Sio kila mtu anafuraia mahusiano yenu. Itakuwa ni rahisi sana kwa m'baya wenu kuwakorofisha just kwa kuandika message chonganishi e.g. ujumbe (wa uongo) lakini wakimapenzi kwa mmoja wenu na itakuwa ni shida kuikanusha na hata ikikanushwa tayari imesababisha doa baina yenu.
 
Huyo mbaya wetu wa kuandika hiyo sms ya uchonganishi ni nani?
Ametokea wapi ?
Labda yeye ndiyo atakua nae wa ku mchonganisha sio mimi
 
Huyo mbaya wetu wa kuandika hiyo sms ya uchonganishi ni nani?
Ametokea wapi ?
Atakuwa ni Humo-humo miongoni mwa wanaJamii mlipo. Kwani hujawahi sikia "kikulacho ki nguoni mwako"?
Labda yeye ndiyo atakua nae wa ku mchonganisha sio mimi
Iwe vyovyote vile -lakini tayari kidudu-mtu atakuwa amefanikisha kuwachonganisha.
 
Cm ya mtu ni privacy haitakiwi kushikwa, mahusiano hayana maelekezo kwamba mkiwa pamoja basi simu zenu mtakua mnakaguana hiyo ni moja ya red flags ndani ya mahusiano 📌
 
Cm ya mtu ni privacy haitakiwi kushikwa, mahusiano hayana maelekezo kwamba mkiwa pamoja basi simu zenu mtakua mnakaguana hiyo ni moja ya red flags ndani ya mahusiano 📌
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…