Pindi la week: Simu ya Mpenzi

Simu inaweza kuwa sumu kwenye mapenzi pale inapotumika vibaya, inapoficha siri, au inapogeuka kuwa chombo cha upekuzi unaovunja uaminifu kati ya wapenzi.

Kifaa hiki cha mawasiliano kina nguvu kubwa ya kujenga au kubomoa uhusiano, kulingana na jinsi wanandoa au wapenzi wanavyokitumia kila siku.
 
Password ya Mpesa na atm anazijua.
Ila sio ya Ku-unlock simu 😊😊😊.

Kwanza sim si imetengenezwa kufunguliwa na Face ID moja . Basi Atulie 😎😎😎😎
 
Password ya Mpesa na atm anazijua.
Ila sio ya Ku-unlock simu 😊😊😊.

Kwanza sim si imetengenezwa kufunguliwa na Face ID moja . Basi Atulie 😎😎😎😎
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…