Pindi Chana ashindwa kuibuka kidedea ubunge viti maalum Njombe

Ocampo ebu dokeza kidogo, mnataka mjiue kisiasa?

Hahahaha subiri Jumatatu Mkuu... Ni siku ambayo siasa zinaenda kubadilika katika nchi hii....

Na ifikapo oktoba kutakuwa na only two people kwenye ballot box, hakuna kugawana kura this time....
 
Jumatatu ukurasa mpya wa siasa utafunguliwa Tanzania.... Nchi itasimama kwa masaa kadhaa
Lakuvunda halina ubani mkuu mlisema akikatwa nchi itatikisika mbona kakatwa hakuna lolo,mara atamleta balali yuko wapi amlete sasa fisadi nyie na huyo fisadi wenu.
 
Mkuu mwisho wake ni ccm kubakia vipande vipande hivyo kuzaliwa ccm no 3 mdogo wa act

Jamani naomba msaada kwenye hii picha waliyoweka hapa. Le mutuz hapa alikuwa naye mgombea, msimamizi wa uchaguzi au hii picha ni kutoka maktaba?
ImageUploadedByJamiiForums1437769391.130681.jpg
 
Hahahaha subiri Jumatatu Mkuu... Ni siku ambayo siasa zinaenda kubadilika katika nchi hii....

Na ifikapo oktoba kutakuwa na only two people kwenye ballot box, hakuna kugawana kura this time....

Waambie ukweli kwani mambo sasa ni hadharani,
 
Nimejaribu kupitia haraka haraka record ya Neema Mgaya bungeni nimeona:

1. Mwaka 2011 aliuliza swali 1

2. Mwaka 2012 aliuliza swali 1

3. Mwaka 2013 aliuliza maswali 5

4. Mwaka 2014 aliuliza swali 1

5.Mwaka 2015 hakuuliza swali lolote

Huyu ni aina ya wabunge aliowasema Samweli Sitta.

Dar es Salaam.
WIKI moja baada ya kukaririwa akisema baadhi ya wabunge wa CCM ni mizigo na kwamba hawana mchango wowote bungeni na wala hawatembelei majimbo yao wakisubiri kubebwa na chama, Spika wa Bunge wa zamani, Samuel Sitta amewageukia wabunge wa Viti Maalumu akisema hawana umuhimu wowote.

Akizungumza kwa simu juzi, Sitta ambaye sasa ni Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki alisema: "Ninakerwa sana na mfumo wa Viti Maalumu, kwanza sioni umuhimu wa mfumo huu kuendelea kuwepo katika Katiba Mpya. Hawana umuhimu wowote."

Katika mkutano wake wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Shule ya Msingi Nyamikoma, Kata ya Busega Mkoa wa Simiyu Julai 29, mwaka huu ikiwa ni sehemu ya kampeni za kuimarisha uhai wa chama, Sitta aliwajia juu bila ya kuwataja baadhi ya wabunge wa CCM.

"Wanakwenda bungeni hawachangii, hawana hata hoja za kuchachafya upinzani, hawachangii, hawa ni mzigo," alisema Sitta na kuongeza: "Wapo baadhi ya wabunge, hawajawahi hata siku moja kwenda kwenye majimbo yao kuwatembelea wananchi waliowachagua... Inawezekana hata wapiga kura wakawa wamewasahau. Hawa hawafai hata kuchaguliwa wakiomba tena kura."

"Rais Jakaya Kikwete amejitahidi sana kuleta mabadiliko, ameleta mafanikio ya uchumi na mambo mengi. Inatakiwa wabunge waende wakawaeleze wananchi maendeleo haya, inawezekana hawayajui lakini watu hawaendi jimboni, wananchi watayafahamu vipi haya maendeleo?"

Juzi, akizungumzia wabunge wa Viti Maalumu, Sitta alisema... "Wengi wao hawachangii chochote na mbaya zaidi hakuna wa kuwahoji chochote kama wabunge wanavyorudi jimboni.

"Ikifika wakati wa posho wapo. Sisemi kama naumia wao kuchukua posho.... hawa wanachukua posho wanawajibika kwa nani? Nani anahoji utendaji wao na zaidi itakapokuja Katiba Mpya ya kuwawajibisha wabunge wazembe, hawa watawajibishwa wapi?"

"Rasimu ya Katiba Mpya isiwaruhusu hawa... hawa nao ni mzigo mwingine. Wakifika bungeni hawachangii chochote, hawawezi kuwajibishwa na yeyote kwa mfumo uliopo na pia hawawajibiki popote, sasa huu si mzigo?"
 
Lakuvunda halina ubani mkuu mlisema akikatwa nchi itatikisika mbona kakatwa hakuna lolo,mara atamleta balali yuko wapi amlete sasa fisadi nyie na huyo fisadi wenu.

JK ndiye aliyeileta Richmond nchini yeye na Naem Gire....

Hilo moja Richmond bado ipo nchini ndo ile SYMBION pale ubungo sasa mmesolve nini?

Simba trust iliyokomba ESCROW ni ya JK na Salma nani fisadi??

Upo kama mbwa mpumbavu wewe unabwekea ndege warukao....
 
Lakuvunda halina ubani mkuu mlisema akikatwa nchi itatikisika mbona kakatwa hakuna lolo,mara atamleta balali yuko wapi amlete sasa fisadi nyie na huyo fisadi wenu.

Msilie lie tu
 
Hahahaha subiri Jumatatu Mkuu... Ni siku ambayo siasa zinaenda kubadilika katika nchi hii....

Na ifikapo oktoba kutakuwa na only two people kwenye ballot box, hakuna kugawana kura this time....

Haa ha ha ikitokea hivyo mtasaidia kuwepo wabunge wengi kidogo wa upinzani kuliko ilivyo sasa ambalo ni jambo jema.Lakini rais tayari anajulikana, John Pombe Magufuli
 
Lakuvunda halina ubani mkuu mlisema akikatwa nchi itatikisika mbona kakatwa hakuna lolo,mara atamleta balali yuko wapi amlete sasa fisadi nyie na huyo fisadi wenu.

Usitokwe povu Mkuu, ushaambiwa subiri Jumatatu.... Nchi inaenda kusimama nakwambia...
 
Haa ha ha ikitokea hivyo mtasaidia kuwepo na wabunge wengi wa upinzani ambalo ni jambo jema.Lakini rais tayari anajulikana, John Pombe Magufuli

Sio rahisi kama unavyodhani Mkuu.... Trust Me, ngoja kampeni zianze ndio utakubaliana na mimi.... Mwaka huu zitaendeshwa kampeni ambazo hamjawahi kuziona hapa duniani...

Tunafarijika sana mpaka sasa tuna kura million 9.3..... Na bado wiki hii tumeingia kwenye hatua ya kuhamasisha vijana wa Dar, mlango kwa mlango.... Na kesho tuko Temeke...

Dar tukipata kura chache ni 3 mln out of 4.something...

Chukua 9.3+3= 12 votes tutakazopata Oktoba.....

Siasa ni hesabu, na mpaka mtu afanye maamuzi magumu kama hayo ujue tayari kafanya mahesabu ya hali juu....
 
Back
Top Bottom