Pindi Chana ashindwa kuibuka kidedea ubunge viti maalum Njombe

Hahahaha subiri Jumatatu Mkuu... Ni siku ambayo siasa zinaenda kubadilika katika nchi hii....

Na ifikapo oktoba kutakuwa na only two people kwenye ballot box, hakuna kugawana kura this time....

Mkuu..dokeza kidogo watu waelewe...
 
JK ndiye aliyeileta Richmond nchini yeye na Naem Gire....

Hilo moja Richmond bado ipo nchini ndo ile SYMBION pale ubungo sasa mmesolve nini?

Simba trust iliyokomba ESCROW ni ya JK na Salma nani fisadi??

Upo kama mbwa mpumbavu wewe unabwekea ndege warukao....

Ukweli unaanza kusemwa taratiiiibu...
 
Jamani naomba msaada kwenye hii picha waliyoweka hapa. Le mutuz hapa alikuwa naye mgombea, msimamizi wa uchaguzi au hii picha ni kutoka maktaba?
View attachment 270887

Huyu ndio huyo aliyeshika nafasi ya pili, maana yake kashinda kurudi bungeni

Nimejaribu kupitia haraka haraka record ya Neema Mgaya bungeni nimeona:

1. Mwaka 2011 aliuliza swali 1

2. Mwaka 2012 aliuliza swali 1

3. Mwaka 2013 aliuliza maswali 5

4. Mwaka 2014 aliuliza swali 1

5.Mwaka 2015 hakuuliza swali lolote

Huyu ni aina ya wabunge aliowasema Samweli Sitta.
 
* Waziri Pindi Chana Achanika Njombe

*Wanawake Washerekea Kudondoka kwake

Matokeo ya Ubunge Viti Maalum Mkoa wa Njombe ni kama ifuatavyo:-

1. Dkt. Suzan Kolimba kapata kura 252

2. Mhe. Neema Mgaya amepata kura 213

3. Mhe. Pindi Hazara Chana 164

4. Ms. Erika Sanga amepata kura 107

5. DC Rosemary Sitaki amepata kura 38 na

6. Ms. Magreth Kyando amepata kura 05
Kwa ccm hii usishangae akarudishwa kama.mshindi..
 
Eti Pindi Chana Achanika Njombe! This will make hilarious heading!

Si alikuwa anajidai atakwenda Ludewa kumung'oa Deo Filikunjombe? Imekuwaje tena akakimbilia Viti maalum ambako nako kumebuma anyway?!
 
Huyu ndio huyo aliyeshika nafasi ya pili, maana yake kashinda kurudi bungeni
@Masonjo katika hili hauko sahihi, ninavyojua mimi wingi wa viti vya wabunge wa majimbo na uwiano wa kura za Urais ndio unaotoa idadi kubwa ya Wabunge wa viti maalum Bungeni.
Kwa kuwa CCM chaguzi zilizopita ilikuwa na viti na kura nyingi ndio maana ikafikia hata mikoa mingine wakapatikana wabunge wa viti maalum wawili mkoa mmoja.
Ila kwa upepo huu waweza kukuta CCM isipate hata majimbo 30 hapo kwenye viti maalumu ni janga.
 
Sidhani kama viti maalumu inatokana na uwiano wa kura za uraisi,,unatokana na idadi ya kura za wabunge....
 
@Masonjo katika hili hauko sahihi, ninavyojua mimi wingi wa viti vya wabunge wa majimbo na uwiano wa kura za Urais ndio unaotoa idadi kubwa ya Wabunge wa viti maalum Bungeni.
Kwa kuwa CCM chaguzi zilizopita ilikuwa na viti na kura nyingi ndio maana ikafikia hata mikoa mingine wakapatikana wabunge wa viti maalum wawili mkoa mmoja.
Ila kwa upepo huu waweza kukuta CCM isipate hata majimbo 30 hapo kwenye viti maalumu ni janga.

Upo sahihi lakini mie sioni bado huwezekano wa CCM kupungua hizo kura kiasi cha kukosa viti viwili kwa mikoa, labda litokee lisilotarajiwa kwa sasa.
 
Walikuwa wanatia aibu sana bungeni

Walionywa mara nyingi sana na wabunge wa upinzani kuwa wanayoyafanya wananchi lazima wawahukumu kwani siku hizi wananchi wengi wanawafuatilia sana katika luninga na redio. Ufahamu wa wananchi hivi sasa ni wa hali ya juu kuhusiana na siasa. Nawaomba na nawashauri wananchi wawaadhibu vikali hawa mipasho na ndiooooooo. Hawa ndio wanaotusababishia maisha magumu kwani hata mhasibu mkuu akileta hesabu za wizi mkubwa wa hela za umma wanashindwa hata kuwachukulia hatua. Ufisadi wowote unaoletwa bungeni huletwa na wabunge wa upinzani na kukataliwa na wabunge wa ccm. Mwisho wa siku unapowekwa chini ushahidi wanabakia na aibu tu Kazi yao ni kutafuta mipasho mipya,matusi mapya na miondoko mipya ya watu wazima kukata mauno bungeni. Bahati yake spika amesoma alama za nyakati kawakimbia majembe ya ukawa vinginevyo nae hana kheri yoyote kwa muda wote wa uspika wake.Wananchi msiyarudishe haya makapi kwa vihongo vidogo vidogo kubalini mageuzi m-badilike kiuchumi. CHAGUENI UKAWA.
 
* Waziri Pindi Chana Achanika Njombe

*Wanawake Washerekea Kudondoka kwake

Matokeo ya Ubunge Viti Maalum Mkoa wa Njombe ni kama ifuatavyo:-

1. Dkt. Suzan Kolimba kapata kura 252

2. Mhe. Neema Mgaya amepata kura 213

3. Mhe. Pindi Hazara Chana 164

4. Ms. Erika Sanga amepata kura 107

5. DC Rosemary Sitaki amepata kura 38 na

6. Ms. Magreth Kyando amepata kura 05

Na bado vipigo vya cdm,mtakoma magamba,na vuchinjio vya bvr vimeshapatikana poleni sana
 
Huyu mama alikuwa akinikera sana kutetea mambo ya hovyo ya serikali bungeni, bora amekatwa!
 
Back
Top Bottom