Pinda: Wanaopinga kodi ya simu hawana jema

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,393
Waziri mkuu Mizengo Pinda amesema tozo hiyo si ya kuwaumiza wananchi bali mapato yake yatakwenda moja kwa moja kusaidia kueneza umeme vijijini.

Alisema hayo alipozungumza kwenye mkutano wa hadhara mjini Songea juzi, katika ziara yake ya wiki moja mkoani Ruvuma.
Pinda '' ni kama vile tozo iliyoongezwa kwenye mafuta ya petrol, ambayo imetupa fedha nyingi katika mfuko wa barabara, za kuunganisha miji na mikoa''.

Aliongeza '' Nani asiyetaka vijiji vipate umeme kama miji, ili usaidie kuondoa giza, uendeshe viwanda vidogo vidogo na usaidie kukuza uchumi? Wanaopinga tozo hii, hawatutakii mema'' alisema Pinda.

source: Habari leo
 
Waziri mkuu Mizengo Pinda amesema tozo hiyo si ya kuwaumiza wananchi bali mapato yake yatakwenda moja kwa moja kusaidia kueneza umeme vijijini. Alisema hayo alipozungumza kwenye mkutano wa hadhara mjini Songea juzi, katika ziara yake ya wiki moja mkoani Ruvuma.
Pinda '' ni kama vile tozo iliyoongezwa kwenye mafuta ya petrol, ambayo imetupa fedha nyingi katika mfuko wa barabara, za kuunganisha miji na mikoa''.
Aliongeza '' Nani asiyetaka vijiji vipate umeme kama miji, ili usaidie kuondoa giza, uendeshe viwanda vidogo vidogo na usaidie kukuza uchumi? Wanaopinga tozo hii, hawatutakii mema'' alisema pinda
source: habari leo

Hapo ndo siwaelewi CCM kabisaaaa... hebu cheki
1. Makamba anadai alizidiwa nguvu mpaka tozo ya line ya simu ikaingia bungeni...
2. Wabunge wa CCM wasema NDIYOOOOOOO ipite, na ikapita....
3. Ilipoanza kulalamikiwa, NAPE akaema CCM inapinga uwepo wa tozo hiyo......
4. Makamba akarudi kwa Mnyika na mkumwambia aache unafiki wa mitandanoni.... na akaonyesha kama vile tozo hii itasitishwa...
5. Pinda naye anakuja na maneno yanayoonyesha kuwa tozo hiyo ipo na itatozwa kama kawaida

MASWALI...
1. Hivi, kwa nini Pinda, Makamba na Nape hawana kauli moja juu ya hili...??
2. Aliyemfanya Makamba ashindwe wakati anapinga tozo hii hadi ikaingia bungeni... NI PINDA..???
3. Hawana vikao vya kiserikali ili kutoa kauli moja..???
4. Nani msemaji wa jambo hili..??? Kwamba akitoa taarifa yeye ndo tuiamini..??
 
Familia ya kambale mkuu! Kila member ana ndevu mpaka alozaliwa leo
 
hapo ndo utaona kila mtu ni msemaji wa chama
 
Kila mtu sasa hivi ni Msemaji wa chama na serikali. Sidhan hata kama wanavikao vya ndani hawa watu maana kila mtu yupo buzy kupigana na CDM.
 
wanaopinga hiyo tozo na wapigwe, wawapige hasa!
Kila mtu sasa hivi ni Msemaji wa chama na serikali. Sidhan hata kama wanavikao vya ndani hawa watu maana kila mtu yupo buzy kupigana na CDM.
Mwalimu alisema, cahama dhaifu kitazaa serikali dhaifu! Nasi tukadhani hiyo serikali itaishia kufilisitu nchi kumbe hatukujua kuwa watatupiga na kutupiga haswa. Hadi kwa mabomu, risasi za moto na hata kung'oa kucha. Sasa tukumbuke kutafakali kila tunapoambiwa mbali na hapo tutaendelea kupigwa tu.
 
ngoja nimpe mh.sugu taarifa za mtoto wa mkulima ksha ntarudi tena baada yakusikia kauri ya mh.sugu.
 
Waziri mkuu Mizengo Pinda amesema tozo hiyo si ya kuwaumiza wananchi bali mapato yake yatakwenda moja kwa moja kusaidia kueneza umeme vijijini.

Alisema hayo alipozungumza kwenye mkutano wa hadhara mjini Songea juzi, katika ziara yake ya wiki moja mkoani Ruvuma.
Pinda '' ni kama vile tozo iliyoongezwa kwenye mafuta ya petrol, ambayo imetupa fedha nyingi katika mfuko wa barabara, za kuunganisha miji na mikoa''.

Aliongeza '' Nani asiyetaka vijiji vipate umeme kama miji, ili usaidie kuondoa giza, uendeshe viwanda vidogo vidogo na usaidie kukuza uchumi? Wanaopinga tozo hii, hawatutakii mema'' alisema Pinda.Every things quiet well kodi hutozwa ktk nchi nyingi mno duniani almost karibu zote\tcra waeleweshe umma namna itakavyotozwa/mf uk, kila ununuapo vch 0.9% iwe grabed but they should cut untill it reach 1000/-,and notify every cuts
 
Hapo ndo siwaelewi CCM kabisaaaa... hebu cheki
1. Makamba anadai alizidiwa nguvu mpaka tozo ya line ya simu ikaingia bungeni...
2. Wabunge wa CCM wasema NDIYOOOOOOO ipite, na ikapita....
3. Ilipoanza kulalamikiwa, NAPE akaema CCM inapinga uwepo wa tozo hiyo......
4. Makamba akarudi kwa Mnyika na mkumwambia aache unafiki wa mitandanoni.... na akaonyesha kama vile tozo hii itasitishwa...
5. Pinda naye anakuja na maneno yanayoonyesha kuwa tozo hiyo ipo na itatozwa kama kawaida

MASWALI...
1. Hivi, kwa nini Pinda, Makamba na Nape hawana kauli moja juu ya hili...??
2. Aliyemfanya Makamba ashindwe wakati anapinga tozo hii hadi ikaingia bungeni... NI PINDA..???
3. Hawana vikao vya kiserikali ili kutoa kauli moja..???
4. Nani msemaji wa jambo hili..??? Kwamba akitoa taarifa yeye ndo tuiamini..??

Huyu mzee milishamtoa kwenye list ya wanasiasa wanaojua wajibu wao kwa jamii na Taifa pale alipo nyanganya mamlaka ya utawala bora na kuruhusu polisi (Piga, nasema piga, ndio sisi tumechoka) huyo ndie Pm wa Tanzania, eboooo! kama umechoka si uwaachie ambao hawajachoka waendelee kuwatumikia Watanzamia kwa utawala bora?
 
hana Huruma na wananchi wake hata kidogo

wao si wanawekea Vocha Za bure ,simu za bure kila kitu bure bure

Ndo maana anatoa ruhusa ya watu kupigwa bila kufikilia
 
waziri mkuu mizengo pinda amesema tozo hiyo si ya kuwaumiza wananchi bali mapato yake yatakwenda moja kwa moja kusaidia kueneza umeme vijijini.

Alisema hayo alipozungumza kwenye mkutano wa hadhara mjini songea juzi, katika ziara yake ya wiki moja mkoani ruvuma.
Pinda '' ni kama vile tozo iliyoongezwa kwenye mafuta ya petrol, ambayo imetupa fedha nyingi katika mfuko wa barabara, za kuunganisha miji na mikoa''.

Aliongeza '' nani asiyetaka vijiji vipate umeme kama miji, ili usaidie kuondoa giza, uendeshe viwanda vidogo vidogo na usaidie kukuza uchumi? Wanaopinga tozo hii, hawatutakii mema'' alisema pinda.

source: habari leo

wapigwe tu tena nasema tena wapigwe
 
Hawa ndio viongozi wetu wenye kutoa misamaha kwa makampuni makubwa ya madini na wawekezaji wengine huku wakiendesha nchi kwa kutumia migongo ya mapato ya wananchi wake...

Kama tutaendelea na mbinu hii ya ukusanyaji kodi, wala tusitarajie maendeleo ya haraka kama ambavyo tumekuwa tukiota kila leo...
 
Kuna tozo ngapi nchi hii tunaponunua umeme kuna % tunakatwa kuchangia umeme vijijini leo hii wanaturaghai kuwa na hii tozo za line za sim kazi yake ni hiyohiyo waache kuleta uhuni fedha hizo wanatuibia kwa ajili ya kutengenezea vitenge,kanga na kofia kwa ajili ya uchaguzi 2015.
 
siku hizi kaacha kulia lia anajikaza kwa sababu ashatoa sana order za kumwaga damu "wapigeni tu maana tumechoka"-siku hizi kageuka kutoka mtoto wa peasant mpaka wa kitajiri kweli sisiemu noumah
kp22072013.jpg
 
Waziri mkuu Mizengo Pinda amesema tozo hiyo si ya kuwaumiza wananchi bali mapato yake yatakwenda moja kwa moja kusaidia kueneza umeme vijijini.

Alisema hayo alipozungumza kwenye mkutano wa hadhara mjini Songea juzi, katika ziara yake ya wiki moja mkoani Ruvuma.
Pinda '' ni kama vile tozo iliyoongezwa kwenye mafuta ya petrol, ambayo imetupa fedha nyingi katika mfuko wa barabara, za kuunganisha miji na mikoa''.

Aliongeza '' Nani asiyetaka vijiji vipate umeme kama miji, ili usaidie kuondoa giza, uendeshe viwanda vidogo vidogo na usaidie kukuza uchumi? Wanaopinga tozo hii, hawatutakii mema'' alisema Pinda.

source: Habari leo
Pinda is the weakest prime minister ever existed in this country! Haoni migodi isivyolipa kodinstahiki yeye anafikiria kukamua wazazi wake pale Katavi? Nashauri akae kimya
 
hapo ndo utaona kila mtu ni msemaji wa chama

CCM kina msemaji wake (NAPE) na Serikali ina msemaji wake pia, ingawa wanatuchanganya sana na hatujui ni nani hasa.

Ni jambo la kushangaza sana January kulalamika kwenye vyombo vya habari. Unafiki tu
 
Back
Top Bottom