Pinda: Uvumilivu ukimshinda Kikwete msimlaumu - Onyo Chadema

Huyu pinda kapinda kwelikweli amani anayo sema ipo wapi?Mi hapa nilipo toka asubuhi hakuna umeme amani napata wapi? Huyu kiongozi anaupungufu wa akili.Mi binafsi huwa simuelewi huyu mtu?Kwanza ni mnafiki anatangaza kitu ambacho hakipo shame upon you! God help us we are in trouble even if you gave us resources
 
Mtu anayesema nchi hii ina amani huwa simwelewi kabisa. Sasa hivi ukipanda daladala stori zote zinahusu ugumu wa maisha. Watu wana hasira na serikali jinsi inavyoacha wananchi wanavyoendelea kuteseka na maisha halafu jitu linasema amani itapotea!!! Ni upuuzi mtupu.

Viongozi sasa waache kuchanganya kati ya amani na utulivu. Inawezekana nchi ni tulivu lakini amani haipo kabisa.
 
Tunisia na Misri sio chama cha upinzani kama hapa Tz ndicho kilishawishi raia wanaöndamana ni wanaCDM na wala sio wapenzi wa vyama vingine,Cdm kikitaka kupata aibu kikaandamane Zenji,Cdm peke yenu msijidanganye kuwa mtaweza,ili yatokee hayo ni cc kuviweka kando vyama na kuliweka Taifa mbele
Ndugu yangu Washawasha napata kukuelewa kwamba unajua truth lakini unataka tu kukoleza watu kufikiri!!!!!!!!!!!! Yaani wewe hata hawa mafisadi akina Rostam Aziz, E Lowasa, A. Chenge, na mafisadi wengine kwa macho ya CCM huwaoni kuwa ndiyo chanzo cha matatizo na umasikini wa nchi hii?????????? Kweli unatisha sana wewe msomi uchwala Washawasha!!!!!!!!!! Wake up!!!!!!!!-mapinduzi ya umma yatakukuta bado una mawazo mgando ya zidumu fikra za ......!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kumekuwa na tabia inayonikera sana ya viongozi kutahadharisha wananchi kwamba wasipokuwa makini amani yetu itapotea. Mfano ni thread aliyoipost Invisible inayotuhabarisha kuhusu maneno ya waziri mkuu mizengo pinda aliyotoa huko mkoani kagera. Kimsingi, mimi natofautiana kabisa na mtu anayedai nchi ina amani. Hivi amani maana yake ni nini??

Watanzania sasa hivi wanaishi kwa mateso makubwa. Nchi inaendeshwa kishagalabagala tu. Bidhaa zinapanda bei kila kukicha. Kila kwenye kikundi cha watu mitaani utaona wanazungumzia mambo ya siasa na jinsi jk alivyoshindwa uongozi na kuacha wananchi wake wakiteseka kimaisha. Sasa katika hali kama hiyo, utasemaje watu wana amani. Ninachokiona hapa ni amani inayoongelewa kama kweli ipo basi ni ya viongozi siyo ya wananchi. Tuache kudanganyana.
 
Tunisia na Misri sio chama cha upinzani kama hapa Tz ndicho kilishawishi raia wanaöndamana ni wanaCDM na wala sio wapenzi wa vyama vingine,Cdm kikitaka kupata aibu kikaandamane Zenji,Cdm peke yenu msijidanganye kuwa mtaweza,ili yatokee hayo ni cc kuviweka kando vyama na kuliweka Taifa mbele

Hahahahahah hapo kwenye red. Unajua population ya Zenji? cdm haina haja ya kwenda zenji, kwa sababu zenji haina impact yoyote.
 
Tunisia na Misri sio chama cha upinzani kama hapa Tz ndicho kilishawishi raia wanaöndamana ni wanaCDM na wala sio wapenzi wa vyama vingine,Cdm kikitaka kupata aibu kikaandamane Zenji,Cdm peke yenu msijidanganye kuwa mtaweza,ili yatokee hayo ni cc kuviweka kando vyama na kuliweka Taifa mbele

fikra zako zina matege, i am sorry to say that! Ukweli unaujua lakini kumbe unafurahia mtu au watu fulani wakiaibika, mbona huombei wale wanao-swindle public funds kuhonga kwenye political campaigns waibike? Kwa jinsi hii tanzania itabaki hivi hivi!
 
Kuna amani, Amani! iko wapi kuua watu kwa bunduki, ukosefu wa dawa hospitalini japo tunazilipia kupitia kodi, kufa klwa magonjwa yanayotokanan na shida, makazi duni, nk. Nidiyo Amani? foolish
 
Tunisia na Misri sio chama cha upinzani kama hapa Tz ndicho kilishawishi raia wanaöndamana ni wanaCDM na wala sio wapenzi wa vyama vingine,Cdm kikitaka kupata aibu kikaandamane Zenji,Cdm peke yenu msijidanganye kuwa mtaweza,ili yatokee hayo ni cc kuviweka kando vyama na kuliweka Taifa mbele

Waende mkoani Zenj kufanya nini, afterall idadi yao haizidi hata mkoa mmoja wa bara say DAR. Si lazima watu wote washiriki kwenye ukombozi ingawa wote wananufaika na matunda yake.
 
kama ni serikali na ipinduliwe! tumechoka na wanasiasa wasio na uelewa wa kutosha wa shida za wananchi. wao wanachojua ni per diem zao tu labda na mafao yao wanapostaafu ndio maana wanapiga mikwara mingi ili kama Mungu atasikia basi angalau wafike siku yao ya kustaafu.

najua hamjanizoea kusikia ninaongea kwa ukali hivi, ni kwamba nimekasirishwa sana na akili hiii ya mtoto wa mkulima kama anavyojiita ingawa sasa amememzwa na mafisadi!

i dont regret
 
Ukiwa unasoma maoni ya humu jf unaweza ukadhan bongo sasa hali c shwari yaan wkt wwt chcht kinaweza kutokea hasa kwa wananchi wa nchi hii kufanya haya ambayo humu jamvini tunayasema...jaman wantanzania walioo wemg bado hawajafika kwny maamuz tunayoyaota humu

Unataka kufungia ka mtandao ketu?
 
Sasa tutajiongoza vp raia bila ya kuwa na kiongozi? siungi mkono Cdm, slaa toka ashindwe anahaha kutaka kuiongoza nchi,hii inaonesha ni jinsi gani hili bachela lamiaka 65 linavyopenda kuongoza maana kwa sasa sio mbunge/rais basi lengo lake lianzishe vurugu ili ligombanie tena ubunge ili arudi bungeni,slaa u must accept defeat,mie nataka jeshi lichukue nchi,CCM msiilipe Dowans kamata mafisadi tia jela otherwise mtaanguka 2015

Looh! Mbona unamchambua hivyo baba wa watu kakukosea nini
 
<br />

<br
/>
Nasikia umma.....umma... ni upi huo mnaouzungumzia?hawa wanaofika katika maandamano?lakini wengi hawakuwa wafuasi wa CDM ila walifata agenda ya kupinga Dowans asilipwe,sasa kama ushiriki wao ndio umekuwa mtaji wa kudhani chama kimepata wafuasi imekula kwenu?

Mkuu, umeiona hiyo, hapo peusi???? Kwani agenda hiyo ya kudai matumizi mazuri ya fedha za wananchi inawahusu akina nani?? Si ni Umma? Unatakiwa kuelewa kuwa nguvu ya umma inadai haki ikiwemo na hiyo. Usidhani hao wanaoandamana wamekosa mwelekeo kama unavyodai. Agenda hiyo ndiyo itakayowafanya wananchi kufanya mabadiliko.
 
"Hivi majuzi tumepata matatizo kule Gongo la Mboto, wakati watu wanakimbia kuokoa maisha yao, wako wengine waaliokuwa wakikimbilia kwenye nyumba za wenzao ili kuiba mali zilizoachwa. Ni ajabu iliyoje kumsikia mtu akitamka: Bora vurugu bwana!" alishangaa.
Au CCM walilipua gongo la mboto ili kututisha? Ile inaweza kuwa hujuma, ndio maana hata JK alipokuwa anatembelea yale maeneo alikuwa anatabasamu kwa kuwa lengo lao limetimia. Wanaweweseka sasa na roho za watu watasema tu siku moja, "tulivyolipua kule gongo la mboto". Hawana huruma, hawana aibu CCM, mwisho wao utafika tu.
 
Mkuu hiyo speech ya Nixon nimeipenda. Thanks alot!!! Lini viongozi wa Afrika watathubutu kufanya hivyo??
 
Hivi kati ya sisi WALALAHOI na JK nani MVUMILIVU?
Halafu mtoto wa Mkulima amekuwa MUONGO siku hizi.
 
Duhh, sasa nimejuwa! Kumbe hawana shughuli za kufanya.

kwa hiyo Pinda na wenzake ndio wana kazi ya kufanya? Kwenda kubembea nje ya nchi kwa raisi wako ndio kazi ya kufanya, afadhali hawa wanaotufundisha kujua haki zetu kuliko watawala wako vipofu wa uongozi
 
Dr, Slaa hana jipya zaidi ya kutaka kuwa Rais. Hana mikakati ya kujenga chama chake zaidi ya kupiga kelele zisizo na msingi. Anaichezea amani iliyokuwepo TZ kwa tamaa ya madaraka aliyokuwa nayo. Dr. Slaa anakiendesha Chadema kidicteta na hafai kuwa kiongozi hata kidogo.
 
Haya jamani boss kasema mtulizane msivunje amani, kutulizana forever ni pamoja na kufa kwa umaskini. Hivyo basi boss kamaanisha tulieni kwani kufa ni kwa kukosa amani na utulivu tu, kufa kwa njaa na maradhi si kufa.
 
Back
Top Bottom