Pinda: Uvumilivu ukimshinda Kikwete msimlaumu - Onyo Chadema

Omulangi

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
1,036
265
Mhe Pinda leo amelonga hapa Bukoba mida ya saa 12 na kusema

Pamoja na serkali kuleta maendeleo makubwa Kagera. Pamoja na shule, barabara na mkonga wa mawasiliano.

Bei ya sukari ataishughulikia katika ziara yake. Bukoba ni km 70 toka kiwandani. Hadi tar 8 itatelemka bei.

Kuh amani ya nchi anasema Kikwete amewavumilia sana watanzania. Anasema maandamano haya yanapima uvumilivu wa Kikwete. Ila anasema anavyojua yeye uvumilivu wake unakaribia mwisho. Watu wenyewe hata mabomu mnaogopa, likipigwa moja watu wanakimbia wala hakuna hata mmoja anayesimama. Karibu sasa atasema basi na hapo ndipo mtakapo ona cha moto.

My take baby face anatishia amani ya tz na kujenga hofu katika mioyo ya watu kuwa wakati wowote watashambuliwa na vyombo vya dola.
 
apeleke sura mbaya huko! Hv anadhan kn mtz wa kutshw cku hz? Hv wkt anazngumza hayo hajalia kwel? Hana analoljua zaid ya kulia hovyo! Shame on him!
 
Nini kitafuatia hapo (kwenye red)...akiwa ni jemedari mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama?
 
mi nadhan hawa cc wanaogopa ukweli...lkn ni ngumu kukimbia kivuli.....swala la john liko waz sana kwan amlipaye mpiga zumari ndie mchagua wimbo asa ole wake
 
Huyu naye alikosa cha kusema jamani???
Wakati mwingine ni bora kukaa kimya, unaweza ukaonekana wa maana!

Mtoto wa mkulima na wewe.......POLE
 
A silent fool counted wise!
alipokuwa kimya nilikuwa na shaka juu ya uwezo wake wa kuchambua na kutafakari mambo, lakini sasa ameongea amenithibitishia kuwa ni mbumbumbu!
 
apeleke sura mbaya huko! Hv anadhan kn mtz wa kutshw cku hz? Hv wkt anazngumza hayo hajalia kwel? Hana analoljua zaid ya kulia hovyo! Shame on him!

are you a lady? Its God's work. Ana undugu na Dk. Remy Ongala
 
Kama uvumilivu utamshinda Mh. Raisi Kikwete basi afuate mfano wa Muungwana Rais Richard Nixon alipozidiwa na kashfa ikabidi akubali kuachia ngazi, nadhani ni somo zuri kuwa Raisi kujiuzulu kabla ya kipindi chake cha uraisi kuisha ni jambo la kiungwana na kidemokrasia hasahasa kama ameshindwa kuwatumikia wananchi wake kwa viwango alivyokuwa ameahidi ikiwemo pia uadilifu mfano kupiga vita rushwa :

PRESIDENT NIXON'S RESIGNATION SPEECH

August 8, 1974

Good evening.
This is the 37th time I have spoken to you from this office, where so many decisions have been made that shaped the history of this Nation. Each time I have done so to discuss with you some matter that I believe affected the national interest.

In all the decisions I have made in my public life, I have always tried to do what was best for the Nation. Throughout the long and difficult period of Watergate, I have felt it was my duty to persevere, to make every possible effort to complete the term of office to which you elected me.

In the past few days, however, it has become evident to me that I no longer have a strong enough political base in the Congress to justify continuing that effort. As long as there was such a base, I felt strongly that it was necessary to see the constitutional process through to its conclusion, that to do otherwise would be unfaithful to the spirit of that deliberately difficult process and a dangerously destabilizing precedent for the future.

But with the disappearance of that base, I now believe that the constitutional purpose has been served, and there is no longer a need for the process to be prolonged.

I would have preferred to carry through to the finish whatever the personal agony it would have involved, and my family unanimously urged me to do so. But the interest of the Nation must always come before any personal considerations.

From the discussions I have had with Congressional and other leaders, I have concluded that because of the Watergate matter I might not have the support of the Congress that I would consider necessary to back the very difficult decisions and carry out the duties of this office in the way the interests of the Nation would require.

I have never been a quitter. To leave office before my term is completed is abhorrent to every instinct in my body. But as President, I must put the interest of America first. America needs a full-time President and a full-time Congress, particularly at this time with problems we face at home and abroad.

To continue to fight through the months ahead for my personal vindication would almost totally absorb the time and attention of both the President and the Congress in a period when our entire focus should be on the great issues of peace abroad and prosperity without inflation at home.

Therefore, I shall resign the Presidency effective at noon tomorrow. Vice President Ford will be sworn in as President at that hour in this office.

As I recall the high hopes for America with which we began this second term, I feel a great sadness that I will not be here in this office working on your behalf to achieve those hopes in the next 21/2 years. But in turning over direction of the Government to Vice President Ford, I know, as I told the Nation when I nominated him for that office 10 months ago, that the leadership of America will be in good hands.

In passing this office to the Vice President, I also do so with the profound sense of the weight of responsibility that will fall on his shoulders tomorrow and, therefore, of the understanding, the patience, the cooperation he will need from all Americans.

As he assumes that responsibility, he will deserve the help and the support of all of us. As we look to the future, the first essential is to begin healing the wounds of this Nation, to put the bitterness and divisions of the recent past behind us, and to rediscover those shared ideals that lie at the heart of our strength and unity as a great and as a free people.

By taking this action, I hope that I will have hastened the start of that process of healing which is so desperately needed in America.

I regret deeply any injuries that may have been done in the course of the events that led to this decision. I would say only that if some of my Judgments were wrong, and some were wrong, they were made in what I believed at the time to be the best interest of the Nation.

To those who have stood with me during these past difficult months, to my family, my friends, to many others who joined in supporting my cause because they believed it was right, I will be eternally grateful for your support.

And to those who have not felt able to give me your support, let me say I leave with no bitterness toward those who have opposed me, because all of us, in the final analysis, have been concerned with the good of the country, however our judgments might differ.
So, let us all now join together in affirming that common commitment and in helping our new President succeed for the benefit of all Americans.
Endelea kuisoma hapa: PRESIDENT NIXON'S RESIGNATION SPEECH
 
Mhe Pinda leo amelonga hapa Bukoba mida ya saa 12 na kusema

Pamoja na serkali kuleta maendeleo makubwa Kagera. Pamoja na shule, barabara na mkonga wa mawasiliano.

Bei ya sukari ataishughulikia katika ziara yake. Bukoba ni km 70 toka kiwandani. Hadi tar 8 itatelemka bei.

Kuh amani ya nchi anasema Kikwete amewavumilia sana watanzania. Anasema maandamano haya yanapima uvumilivu wa Kikwete. Ila anasema anavyojua yeye uvumilivu wake unakaribia mwisho. Watu wenyewe hata mabomu mnaogopa, likipigwa moja watu wanakimbia wala hakuna hata mmoja anayesimama. Karibu sasa atasema basi na hapo ndipo mtakapo ona cha moto.

My take baby face anatishia amani ya tz na kujenga hofu katika mioyo ya watu kuwa wakati wowote watashambuliwa na vyombo vya dola.

Mie nadhani watz tunataka tukione cha moto kutoka kwake then yeye tutamuonesha cha fire. " Mtu mzima atishiwi nyau bana na hata akitishiwa haogopi"
 
Mhe Pinda leo amelonga hapa Bukoba mida ya saa 12 na kusema

Pamoja na serkali kuleta maendeleo makubwa Kagera. Pamoja na shule, barabara na mkonga wa mawasiliano.

Bei ya sukari ataishughulikia katika ziara yake. Bukoba ni km 70 toka kiwandani. Hadi tar 8 itatelemka bei.

Kuh amani ya nchi anasema Kikwete amewavumilia sana watanzania. Anasema maandamano haya yanapima uvumilivu wa Kikwete. Ila anasema anavyojua yeye uvumilivu wake unakaribia mwisho. Watu wenyewe hata mabomu mnaogopa, likipigwa moja watu wanakimbia wala hakuna hata mmoja anayesimama. Karibu sasa atasema basi na hapo ndipo mtakapo ona cha moto.

My take baby face anatishia amani ya tz na kujenga hofu katika mioyo ya watu kuwa wakati wowote watashambuliwa na vyombo vya dola.

mnafiki mkuu...anamsemea kikwete anasemea serikali??? anajitoa.... mbu mbu mbu huyu...anaogopesha umma !!!!!... as kikwete ana nini cha kufanya wananchi waandamane???
watanzania wanaandamana kwa sababu maisha yao yamekuwa magumu na wala sio uraisi wa kikwete...ameshindwa kuboresha maisha sasa why hataki kuwajibika?????

VIA CHADEMA, Wameshaanza kulegea... mpaka kieleweke
 
Huyu Pinda anadhani hii ni nchi ya CCM eenh hii nchi ni ya wa TANGANYIKA wote asitutishe hapa, nchi si ya Mkwere hii ohooo mambo ya kusema eti JK katuvumilia yeye ni nani zaidi ya wananchi wa TZ, kwanza hatukumchagua katuibia kura zetu, wasituchanganye kabisaa tupo tayari kwa lolote. CCM Chungeni sana kauli zenu
 
Katibu mwenezi na itikadi Chiligati amelalamikia maandamano ya chadema eti yana lengo la kuipindua serikali, na kutaka maandamano hayo yasitishwe mara moja...

Source: Channel Ten: Habari ya saa moja usiku.
 
Afanye tu atakalonasikia Pinda anakwenda kule home Biharamulo nachelea asijesusiwa!
 
Ushauri aliotoa ni kuwa miaka 5 si mingi sana. Watu wavumilie maana huko Libya watu wanamlalamikia Gadaffi na mzee huyu ana miaka 42 kwenye utawala. Sasa Kikwete ana mingapi? Hivyo muda uliobaki si mwingi watu wajiandae kwa uchaguzi mkuu. Lakini hili la maandamano ni ushahidi hawa hawana kazi ya kufanya.
 
Pinda alienda kuzindua kisima sehemu fulani, alipofika akachungulia kwenye kisima na kuulizwa swali, hivi humu mna fuga mamba? tafakari
 
Hatishiki mtu kama vipi na yeye ajifanye GADAFI atuue wote atawale Makaburi
 
Unajua mi naona hawa jamaa wamekaa wakajadiliana waje na propaganda ya kupindua serikali ili wawatoe wananchi kwenye dhana nzima ya maandamano. Maana kila anayesema anakuja na staili ya kupindua serikali,wao watimize wajibu kwa wananchi hofu ya nini?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom