Pinda umeshamtuma cag udom? Au umepotezea

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,222
764
Jamani imefika wakati inabidi tufanye followups za hawa viongozi wetu kama wana meet deadlines na ku deliver on time. Nakumbuka Pinda alikiri mwenyewe kwamba UDOM mambo siyo shwari na la kwanza kabisa angemtuma CAG as soon as possible kwa ajili ya kumkagua DFA wa UDOM. Naona kama tumekwisha sahau wakati Pinda alikwenda Dodoma kwa kutumia resources za Taifa hivyo he must meet the deadlines and deliver on time and get us the feedback. Kama alitutangazia kwamba atamtuma CAG basi ni vema pia akatupa feedback on CAG observations.

What I can smell is that the PM has already abandoned the UDOM issue and he has jumped into Dowans scandal so as to rescue the situation.

It's disgusting the way our leaders are handling Dowans Scandal.
 
sometime wasomi wetu wa vyuo vikuu, wanasiasa kama wabunge wako too selfish. wanawasahu watu wa kawaida kabisa shida wanazpata.

Imefika sasa muda hawa maprffesor wa vyuo, wanafunzi wa mtaani wawe mbele kudai haki za wakulima.

Kwa nini kila mtu anatumia nafasi yake kudai haki ya sehemu yake tu na sio kudai haki ya wananchi wote na haw awale wlio disadvantaged kama wakulima.
 
sometime wasomi wetu wa vyuo vikuu, wanasiasa kama wabunge wako too selfish. wanawasahu watu wa kawaida kabisa shida wanazpata.

Imefika sasa muda hawa maprffesor wa vyuo, wanafunzi wa mtaani wawe mbele kudai haki za wakulima.

Kwa nini kila mtu anatumia nafasi yake kudai haki ya sehemu yake tu na sio kudai haki ya wananchi wote na haw awale wlio disadvantaged
kama wakulima.

Does it have any relation with this thread?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom