VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,355
Akizungumza Mizengo Pinda amesema haja ipo ila bado haijaamua kama mabadiliko yanayoitajika ni makubwa au madogo
Ndio kaka Mizengo Pinda akizungumzia issue ya katiba leo amesema kuwa ni kweli kuna umuhimu wa katiba mpya ila serikali itakaa na wadau na kujadili kama madadiliko ya hiyo katiba yanayoitajika ni makubwa au madogoUani hilo ndo tamko? Makubwa au madogo. ndo tamko la serikali kuhusu katiba??
anakaa na wadau lini maana wasije vuta mpaka 2015 ndiyo waanze mchakato....Ndio kaka Mizengo Pinda akizungumzia issue ya katiba leo amesema kuwa ni kweli kuna umuhimu wa katiba mpya ila serikali itakaa na wadau na kujadili kama madadiliko ya hiyo katiba yanayoitajika ni makubwa au madogo
Baada ya kilio cha muda mrefu cha madai ya Katiba, hatimae hii leo serikali ya Tanzania imekiri kuwa ipo haja ya kuifanyia mabadiliko Katiba ya sasa ili iweze kukidhi mahitaji na mabadiliko ya sasa.
Akiongea na wahariri wa vyombo vya habari leo Jijini Dar es Salaam, Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda amesema serikali itaunda jopo la wataalam kupitia mapendekezo ya awali na ya sasa yaliyotolewa kuhusiana na mabadiliko ya Katiba.
Hata hivyo Mh. Pinda amesema serikali bado haina jibu iwapo yafanyike mabadiliko makubwa ama mabadiliko madogo kutokana na mapendekezo yaliyokwishatolewa, au suala hilo lipelekwe bungeni ama lirudishwe kwa wananchi kwa maamuzi.
Source-Mimi
Akizungumzia suala hili Mizengo Pinda amesema haja ipo ila bado haijaamua kama mabadiliko yanayoitajika ni makubwa au madogo
My Take
Katiba itawekewa viraka ambavyo havitatatua mahitaji ya wananchi
Sasa yule aliyekurupuka na kusema serikali kwa sasa fedha za kufanya mabadiliko alisema kwa niaba ya nani? ya kwake au ya serikali? kwa maana maelezo yake yalimaanisha hakuna kitu kama hicho kitaendelea, na kwa maelezo haya ina maana serikali is indecisive, na huyu hajatamka kama ana preempt yale maelezo ya awali.Baada ya kilio cha muda mrefu cha madai ya Katiba, hatimae hii leo serikali ya Tanzania imekiri kuwa ipo haja ya kuifanyia mabadiliko Katiba ya sasa ili iweze kukidhi mahitaji na mabadiliko ya sasa.