PINDA - Nitatoa Maamuzi yote Jumatatu

Atakuwa Kikwete kapiga pini. Si mnakumbuka ile issue ya Jairo namna ambavyo Pinda alikuwa tayari kwa lolote lakini the big boss akazuia? Sintoshangaa kwa kweli. Kwa imani yangu, hakuna ubadhirifu ambao Kikwete haujui. Sasa haitakuwa rahisi kuruhusu kirahisi tu wezi wenzake waresign, maana hiyo inaweza kumvua nguo hata Kikwete mwenyewe.
 
...Dah! Kwanini asubiri hadi Jumatatu badala ya kulitangazia Taifa leo hii kilichojiri!!!! Mimi nadhani mshiko mnene umeshatolewa kwa "Wabunge wakorofi" ndani ya magamba hivyo sidhani kama kuna Waziri hata mmoja ambaye atajiuzulu. Na habari ambazo anataka kulala nazo hadi Jumatatu zinaweza kabisa kuvuja kati ya leo na kesho na kila kitu kuanikwa hadharani.
 
muda mfupi uliopita waziri mkuu mheshimiwa mizengo pinda kamaliza mazungumzo na waandihi wa habari wa vyombo mbalimbali na kusisitiza kuwa taarifa kamili kuhusu mawaziri wanaodaiwa kujiuzuru atazitoa rasmi jumatatu atakapokuwa akiahirisha kikao cha bunge.

Maswali ni mengi kwa kila nayeisikia kauli hii:

  1. nini kimejitokeza hapa
  2. kuna aliyezuia maamuzi haya yasipate baraka?
  3. pm kashikwa na kigugumizi gani?
  4. mbona kila jambo katika kiako cha jana yalishafahamika mpaka maazimio?
  5. kikao cha leo kilikuwa na agenda gani?
  6. ni kweli anasubiri baraka za rais?
  7. ilikuwa sanaa?
  8. au ni mchezo gani unataka kufanyika hapa?
  9. kwanini spika kaahirisha bunge bila kuusoma muongozo uliohusu ufafanuzi wa serikali juu ya suala hili?
  10. kwanini wameiacha nchi katika sintofahamu kiasi hiki?

ahadi yake ni jumatatu

tunaendelea kusubiri

adios

Huyu kilaza mwacheni achezee shilingi chooni tu. Tuna siginecha 99 hivi sasa! Ohooo!
 
Atakuwa Kikwete kapiga pini. Si mnakumbuka ile issue ya Jairo namna ambavyo Pinda alikuwa tayari kwa lolote lakini the big boss akazuia? Sintoshangaa kwa kweli. Kwa imani yangu, hakuna ubadhirifu ambao Kikwete haujui. Sasa haitakuwa rahisi kuruhusu kirahisi tu wezi wenzake waresign, maana hiyo inaweza kumvua nguo hata Kikwete mwenyewe.

Hata yeye anachezea shilingi chooni vile vile. Kwa taarifa yenu hakuna mtu mwoga kama huyu mkw*re. Tukimchachamalia wiki moja tu haki ya nani ana toroka nchi! Nakwambieni mimi! Ooho, haya!
 
Hata yeye anachezea shilingi chooni vile vile. Kwa taarifa yenu hakuna mtu mwoga kama huyu mkw*re. Tukimchachamalia wiki moja tu haki ya nani ana toroka nchi! Nakwambieni mimi! Ooho, haya!

Kwa mwendo huu 2015 ni mbali sana kwa JK na CCM. Nahisi tutatakiwa kufanya uchaguzi mkuu kabla ya 2015. Mtaniambia.
 
Kwa mwendo huu 2015 ni mbali sana kwa JK na CCM. Nahisi tutatakiwa kufanya uchaguzi mkuu kabla ya 2015. Mtaniambia.

Mkuu hilo lina ubishi? haya magamba hata alama za nyakati hayawezi kusoma. Ebu imajini, baada ya hasira zilizojazwa hii nchi juzi pipoz pawa wangeita Taharir Square unadhani mkulu angerudi huko aliko?

REDEMPTION HOUR IS JUST AROUND THE CORNER, BELIEVE ME!
 
I really can't imagine! May we all live to see that happen! May the good Lord save our country!
O GOD COME TO OUR ASSISTANCE....!
 
monday is not a next year even a month monday is around the corner so wasizani sana kama kwamba magamba yao yatawasaidia
 
Ndugu zanguni hii ccm kuitoa kwa njia ya sanduku la kura au taratibu za kisheria kama hizi za akina zitto ni ndoto ya mcha na kweupe wana kila mbinu na hata hii ya waziri mkuu kusema atatoa yote jumatatu ni delaying tactic kuna mambo yanapangwa na mwisho itakuwa kama mzee mwanakijiji alivosema mazingaumbwe tu! sisi Watanzania pia hatuna tofauti sana na wabunge wa ccm kelele nyingi bila vitendo! nilitarajia baada ya ripoti za CAG na ile ya cheyo, mrema na zitto tumeshaingia barabarani kuishinikiza serikali iondoke haraka madarakani lakini tumekaa kwenye keyboard na kuandika tu sawa na wabunge wa ccm wanavopiga kelele bila vitendo bungeni! mimi nashauri tujipange tuandae maamndamano makubwa kuilamisha serikali yote iondoke au tukae kimya! tunatakiwa wakati akina zitto, filikunjombe na wengine wanapigana bungeni sisi wananchi ambao ndio waajiri wa rais, waziri mkuu na ,mawaziri wote tupambane nje ya bunge!!
 
wadanganyika mpenimuda PENGINE KAAMUA KUONDOKA NAO ATUTANGAZIE TAIFA NAOMBA WASIO NA TV NITAWAUNGANISHA NA KIMKONYI.BLOGSPOT.COM MUONE KWA AMANI MAKAZINI MWENU
 
Ndugu zanguni hii ccm kuitoa kwa njia ya sanduku la kura au taratibu za kisheria kama hizi za akina zitto ni ndoto ya mcha na kweupe wana kila mbinu na hata hii ya waziri mkuu kusema atatoa yote jumatatu ni delaying tactic kuna mambo yanapangwa na mwisho itakuwa kama mzee mwanakijiji alivosema mazingaumbwe tu! sisi Watanzania pia hatuna tofauti sana na wabunge wa ccm kelele nyingi bila vitendo! nilitarajia baada ya ripoti za CAG na ile ya cheyo, mrema na zitto tumeshaingia barabarani kuishinikiza serikali iondoke haraka madarakani lakini tumekaa kwenye keyboard na kuandika tu sawa na wabunge wa ccm wanavopiga kelele bila vitendo bungeni! mimi nashauri tujipange tuandae maamndamano makubwa kuilamisha serikali yote iondoke au tukae kimya! tunatakiwa wakati akina zitto, filikunjombe na wengine wanapigana bungeni sisi wananchi ambao ndio waajiri wa rais, waziri mkuu na ,mawaziri wote tupambane nje ya bunge!!

You speak well dude, but, to help you do away with the "red marked" pessimism I want to say this to you: NO EMPIRE HAS EVER LIVED FOREVER, otherwise that could be a god then. There has never been in history a government as strong as THE ROMAN EMPIRE; NEVER! But where is it today? Only in old books that can't even be in our schools' syllabi!

Muda waliobakiza magamba kujidanganya ni mfupi mno.
 
Mkuu kama si lazima waziri mkuu awe Mbunge je mbona unasema Shukuru ndo awe waziri? KWa yapi alofanya hadi atunukiwe hii kazi? I thought suala la nani ni waziri au waziri mkuu au mtu yeyote anayeshika wadhifa katika ofisi za umma ina-base kwenye merits!!!!!!!!!! Nadhani ingekuwa very appropriate kama ungeweka vigezo vya waziri mkuu na ukaonesha jinsi gani huyo unayempendekeza ametimiza vigezo hivyo wanajamvi tungekuelewa! Otherwise story tuuuu
popompo wewe, ushahambiwa waziri mkuu lazima awe mbunge wa kuchaguliwa.
Kudadadeki nakunongoneza sasa waziri mkuu ni mheshimiwa shukuru kawambwa kwa kuwa anauzowefu wa kushika wizara nyingi mpaka sasa.
 
Hata yeye anachezea shilingi chooni vile vile. Kwa taarifa yenu hakuna mtu mwoga kama huyu mkw*re. Tukimchachamalia wiki moja tu haki ya nani ana toroka nchi! Nakwambieni mimi! Ooho, haya!

huo ndiyo ukweli nahakuna atakaye weza kuzuiya iwe jeshi lake wala polisi wake legelege...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom