Chademason
Member
- Apr 2, 2012
- 65
- 8
Our prime minister can never make any strong decision. So he needs to resign and his all cabinents members.
Zitto alisema neno nzuri sana na la maana "ACCOUNTABILITY"
Serikali ya Kikwete ina miss accontability
Let them go to hell this way, M4C inachanja mbuga kama haina breki
Hata yeye anachezea shilingi chooni vile vile. Kwa taarifa yenu hakuna mtu mwoga kama huyu mkw*re. Tukimchachamalia wiki moja tu haki ya nani ana toroka nchi! Nakwambieni mimi! Ooho, haya!
Mnafikiri kitatokea nini kwa Mkw-ere? Mimi naona kama yupo safe sana. Maana hakuna kura ya kutokuwa na imani na Rais. Kama katiba ingeruhusu kupiga kura ya aina hiyo, kwa hakika Kikwete asingekuwa salama. Lakini kutokana na katiba yetu ilivyo, sidhani kama anaweza kuguswa na lolote, na ukizingatia uoga wa watanzania.Kwa mwendo huu 2015 ni mbali sana kwa JK na CCM. Nahisi tutatakiwa kufanya uchaguzi mkuu kabla ya 2015. Mtaniambia.
Pinda akijadiliana na wabunge wa upinzani wanaotaka kumwondoa madarakani Dodoma leo.
![]()
mkweree anarudi lini?
Sijawahi kuona Waziri Mkuu bogus kama Pinda katika historia ya nchi hii
jamani siasa isitufikishe huko huyu mh pinda ni kama baba yako mzazi je waweza kumtusi baba yako kama ulivyofanya kwa PM kiukweli si busara ata kdg si vizuri ata kdg kuna namna ya kusema jambo kwa hisia na watu wakakuelewa lakini si lazima mpaka umtusi mtu huyu ni kama mzazi wako sasa sidhani kama waweza mtusi baba yako ata kama amekukosea!
mizengo pinda ni mwadilifu,shida yuko ndani ya mfumo 'corrupt'kwa busara mi nashauri pinda ajiuzuru amwachie zigo kikwete,mananaona alijitahifi huko nyuma jk akiwa brazil,lakini sasa anarudishwa nyuma,hivyo basi ili aheshimike atoke ndani ya mfumo unaolinda majambazi wanaokwiba fedha za umma mchana kweupe,ripoti ya mkaguzi wa serikali inaonyesha wazi ni ufisadi wa kutisha na rais anaona ni kama mchezo tu.pinda tafadhali jiuzuru.muda mfupi uliopita waziri mkuu mheshimiwa mizengo pinda kamaliza mazungumzo na waandihi wa habari wa vyombo mbalimbali na kusisitiza kuwa taarifa kamili kuhusu mawaziri wanaodaiwa kujiuzuru atazitoa rasmi jumatatu atakapokuwa akiahirisha kikao cha bunge.
Maswali ni mengi kwa kila nayeisikia kauli hii:
- nini kimejitokeza hapa
- kuna aliyezuia maamuzi haya yasipate baraka?
- pm kashikwa na kigugumizi gani?
- mbona kila jambo katika kiako cha jana yalishafahamika mpaka maazimio?
- kikao cha leo kilikuwa na agenda gani?
- ni kweli anasubiri baraka za rais?
- ilikuwa sanaa?
- au ni mchezo gani unataka kufanyika hapa?
- kwanini spika kaahirisha bunge bila kuusoma muongozo uliohusu ufafanuzi wa serikali juu ya suala hili?
- kwanini wameiacha nchi katika sintofahamu kiasi hiki?
ahadi yake ni jumatatu
tunaendelea kusubiri
adios
Mnafikiri kitatokea nini kwa Mkw-ere? Mimi naona kama yupo safe sana. Maana hakuna kura ya kutokuwa na imani na Rais. Kama katiba ingeruhusu kupiga kura ya aina hiyo, kwa hakika Kikwete asingekuwa salama. Lakini kutokana na katiba yetu ilivyo, sidhani kama anaweza kuguswa na lolote, na ukizingatia uoga wa watanzania.
Katika kufitikia uamuzi jumatatu,analazimika kueleza,pamoja na mambo mengine, hatma yake kisiasa na iwapo tunaweza kuendelea kutumia mfumo wa utawala wa kuwa na Waziri Mkuu asiye na madaraka makubwa kiutawala,wakati huo huo,akihitajiwa kueleza masuala ya ndani kabisa ya serikali,na kufanya maamuzi muhimu ya kiserikali kuhusu watendaji wake waandamizi ,huku Rais akirundikiwa mamlaka makubwa ya kiutawala na akiwa pia ni Mwenyekiti wa Chama Tawala.