Haoni AIBU wala SONI hata kidogo. Katiba ijayo ivunje mikoa na wilaya zote za sasa. Ugawaji wake usimamiwe na kuidhinishwa na BUNGE. Hizi gharama za kuiendesha serikali kubwa namna hii hazifai.Hii ni aibu sana!! Ilifikia mahali nikatafakari nikaona huyu Mkuu tuliyenaye sijui tumwiteje? Kodi zetu kaenda kujenga Katavi, Huyu mkuu nadhan anafaa kuwa mkuu wa mkoa, na si mkoa mwingine ila wa nyumbani kwake!! sasa kawa Karanja mkuu wa nchi!!!!!
Haoni AIBU wala SONI hata kidogo. Katiba ijayo ivunje mikoa na wilaya zote za sasa. Ugawaji wake usimamiwe na kuidhinishwa na BUNGE. Hizi gharama za kuiendesha serikali kubwa namna hii hazifai.
Sikumtarajia Pinda, mwanasheria wa siku nyingi, mtu aliyefanyakazi na Mwalimu kwa karibu, abadilike, afanye haya. Uliokuwa Mkoa wa Rukwa ulikuwa na ukubwa kiasi gani, ulikuwa na idadi gani ya watu. Hivi kweli shida ya mkoa ule ilikuwa ni kuongeza mkoa na wilaya nyingine?Kwani tatizo ni Katiba? Katiba ni karatasi tu, hata Katiba ya sasa hivi pia ina mambo mazuri tu na inakataza mambo mengi tu lakini kila siku yanavunjwavunjwa tu, kwa hiyo hata ile Katiba gani, maadamu watu ni wale wale hamna litakalobadilika!
Waziri Mkuu wa sasa, Mizengo KP Pinda ni zaidi ya Msuya. Katika kipindi hiki kifupi tu cha uwaziri mkuu wake kaanzisha mkoa wake, KATAVI, kaanzisha na wilaya yake, MLELE, na anataka wilaya hii iwe na halmashauri mbili!
Yote haya kwa gharama ya kodi zetu WATANZANIA. Kuna wa kumzuia?
Pinda hana madaraka kwenye Jamhuri ya watu wa Zanzibar, madaraka yake yanaishia pale Ferry.Kwani pinda kaanzisha mkoa na wilaya kwake tu? Je?alitakiwa aanzishe kwengine lakini kwake asianzishe? Je?unadhani msuya kwa kuanzisha wilaya ya mwanga alikosea? Je?msuya alianzisha wilaya ya mwanga peke yake?hivi unafikiri pinda anasababu gani yakuanzisha mkoa wa mjini magharibi?
Kwanini awe yeye Pinda na sio Lowasa au Sumaye( naye alianzisha Manyara!)? Hivi kweli unaposimamia eneo unakotoka lipate mkoa au wilaya utaelewekaje? Tanzania tunahitaji mikoa na wilaya nyingine kwa gharama ya nani?Kwani pinda kaanzisha mkoa na wilaya kwake tu? Je?alitakiwa aanzishe kwengine lakini kwake asianzishe? Je?unadhani msuya kwa kuanzisha wilaya ya mwanga alikosea? Je?msuya alianzisha wilaya ya mwanga peke yake?hivi unafikiri pinda anasababu gani yakuanzisha mkoa wa mjini magharibi?
Sikumtarajia Pinda, mwanasheria wa siku nyingi, mtu aliyefanyakazi na Mwalimu kwa karibu, abadilike, afanye haya. Uliokuwa Mkoa wa Rukwa ulikuwa na ukubwa kiasi gani, ulikuwa na idadi gani ya watu. Hivi kweli shida ya mkoa ule ilikuwa ni kuongeza mkoa na wilaya nyingine?
Pamoja na mambo mengine
wanarukwa tunalia mgawanyo usiosawa wa rasilimalia ardhi baina ya katavi na rukwa(mkoa mama).
Mkoa wa rukwa umegawanywa kupata katavi na utabaki na km za mraba 27,765 na wilaya 3,majimbo 4,tarafa 16,kata 64,vijiji 316,mitaa 196 na vitongoji 1658.
Katavi(mkoa mpya) una km za mraba 47,485 ikiwa na mara mbili ya rukwa,majombo 3,tarafa 10,kata 42,vijiji 124,mitaa 14 na vitongoji 671.
Ni dhahiri kuwa kuna upendeleo mkubwa wa rasilimali ardhi kwa mkoa wa katavi huku maeneo yote potentials na ya kimkakati wakichukua wao.
kwa hiyo ulitaka kila waziri akiingia kazi iwe kuanzisha mikoa na wilaya tu.kwani wewe ulitaka tuwe na mikoa mingapi badala ya mingapi na kwa nini?Kwanini awe yeye Pinda na sio Lowasa au Sumaye( naye alianzisha Manyara!)? Hivi kweli unaposimamia eneo unakotoka lipate mkoa au wilaya utaelewekaje? Tanzania tunahitaji mikoa na wilaya nyingine kwa gharama ya nani?
Kuna maeneo mengi ya Kusini ya Tanzania na Nyanda za Juu Kusini waliacha nyuma kimaendeleo ni fedha hizo hizo alizotumia Sumaye kujenga uwanja wa ndege wa Arusha ili kuufanya uwe wa Kimataifa wakati kilometa chache upo uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro je huo usio wizi? Kama Mramba alikuwa andandua lami na kuweka lami mpya kwenye Mkoa wa Kilimanjaro wakati sehemu zingine kama Lindi na huko Kigoma na Rukwa hawana lami toka Nchi hii inapata uhuru je nao siyo wizi? Tufike mahali tukubali kuwa sehemu zingine zinatakiwa kupata maendeleoBadala ya kumuunga mkono Maghufuli na Mwakyembe kujenga miundombinu mizuri na imara ili nchi ifikike kiurahisi wakati wote popote, wao wanaongeza gharama za kiutawala halafu wanazifanya kiukabila na nguvu za nafasi zao. Pinda hatuibii lakini maamuzi kama haya ni zaidi ya wizi.