Pinda ni masikini kweli...tuache unafiki.

huwezi kuwa waziri mkuu wa tanzania ya sasa kisha ukaesabiwa miongoni mwa masikini. haiwezekani jamani tuseme ukweli
 
Ni usanii uleule. I will never be fooled.

That is what I was asking myself! Yes we know he is " Son of Peasant". What we need from him is his positive contribution to make things better for all Tanzanians. Kama agenda ya kujiuzia ni utoto wa mkulima tu, then kuna kasoro kubwa somewhere.
 
Mtoto wa mkulima so what! What we need is somebody who can develop our country faster. Mimi naona Lowassa is far better!
 
Eti hadi sendozi kavalishwa zilizoenda upande ili ionekane maskini dah usanii tuwaachie kina Bambo wewe piga siasa bwana Pinda.
 
Mtoto wa mkulima so what! What we need is somebody who can develop our country faster. Mimi naona Lowassa is far better!

Ni kweli kabisa hata mimi namkubali Lowasa kwa action, ukikosea anakuchukulia hatua na hakuna longo longo. Tatizo la Lowasa ni kupenda mali kupita kiasi na hajali imepatikana vipi, yaani anafanya mema kwa ajili ya nchi kwa 100%, halafu anaharibu kwa 150%! Hilo linanitatiza sana kati ya hawa watu wawili, kwani Pinda haibi ila anaacha au hachukui hatua kwa hao wahalibifu, na sio kwamba hajui uhalibifu unaofanyika ila anachofanya yeye ni kulalamika kama mwananchi wa kawaida asiye na mamlaka ya kubadilisha mambo. Naweza sema wote wawili hawafai, anayefaa ni Magufuli tu ila Mkuu hawezi mteua maana anajua jamaa atafanya kazi kiasi cha kumfunika rais na wananchi wakaweka tumaini lote kwa Magufuli.
 
sisi ndio tunaona hii picha ina tatizo, lakini kwa 95% ya Watanzania hii picha ni show stopper, a killer photo opportunity! kwa hiyo Pinda is brilliant pulling this scheme, he knows well who his audience is
 
CCM na Daily News Wameajili Mwandishi Mpya wa Kupiga Picha Viongozi wa CCM Vijijini ili Watanzania Wafikiri Wanawajua Wananchi na Kulima Kama Wanakijiji. Hizi Tactics na Upuuzi Hauta Fanikiwa Kwani Wananchi Weshaona Picha Mpaka Tumechoka, Kilichokuwa Kinahitajika Tangu Uhuru ni Elimu Bora, Afya Bora na Maendeleo Sio Picha za Vijijini. Ndio Maana Tunataka Daily News na TBC Vifungwe Mpaka Katiba Iamue Kazi Zake.
 
Hawa jamaa kweli wana sura 2, si ni hawa wanaodai tusikate miti sasa ndo nn hiki? Utategemea mwananchi wa kawaida asikate miti. Kateni miti tani yenu likija jangwa wote tuwe tumechangia kwani nn? Watu wanaotakiwa kuwa mfano USIOPINDA wanafanya kinyume au na jina linachangia nn.
 
Labda kama ni masikini wa mawazo............. si kama anavyotaka tumuelewe...........INAKUWAJE MTU UNAKATAA SHANGINGI KWA VILE NI LA GHARAMA HALAFU UNALIRUHUSU LIKATUMIKE NA MTU MWINGINE........???? Kwani kwa kufanya hivyo utakuwa umepunguza gharama gani kwa serikali .......???
 
pinda you can fool some people for sometime but you can't fool all the people all time,you just a pretender,a gold digger,a puppet,disgraced who do nothing as expected by most of wananchi but only used by mkwere as microphone...pinda you'are a shame
anajua kula na vipofuuu huyuu
 
Ni kweli kabisa hata mimi namkubali Lowasa kwa action, ukikosea anakuchukulia hatua na hakuna longo longo. Tatizo la Lowasa ni kupenda mali kupita kiasi na hajali imepatikana vipi, yaani anafanya mema kwa ajili ya nchi kwa 100%, halafu anaharibu kwa 150%! Hilo linanitatiza sana kati ya hawa watu wawili, kwani Pinda haibi ila anaacha au hachukui hatua kwa hao wahalibifu, na sio kwamba hajui uhalibifu unaofanyika ila anachofanya yeye ni kulalamika kama mwananchi wa kawaida asiye na mamlaka ya kubadilisha mambo. Naweza sema wote wawili hawafai, anayefaa ni Magufuli tu ila Mkuu hawezi mteua maana anajua jamaa atafanya kazi kiasi cha kumfunika rais na wananchi wakaweka tumaini lote kwa Magufuli.

Naye alikuwa wapi kuzui Viwanda vya Nyavu visitengeneze ubora usiotakiwa na kusumbua wavuvi ? wapi asigome kuzua nyumba za serekali kuuzwa ovyo au kumshauri rais na kuresign kama rais akikataa ? Kutunga sheria za haki za mifugo na faini kwa wakulima maskini badala ya kuboresha jinsi wanavyofanya kazi zao wafanye vizuri zaidi waweze kuendelea kama waziri wa mifugo ? Ni Aibu kwa Viongozi wa Taifa Letu hafikiri Taifa lao wako kama imported Viongozi tuuu !!
 
12_10_6scme1.jpg

VILLAGE LIFE: The now famous label for Prime Minister Mizengo Pinda, ‘Son of a Peasant’ is amply illustrated in this picture as he adjusts his gum boots ready for another busy day in his farm. And what a better way to start the day than having a cup of hot tea being prepared in an open air kitchen! Mr Pinda is on a Christmas and New Year holidays at his home village in Mpanda District. Second left is his wife, Tunu. (Photo by PMO)

duuuh!viongozi wetu wanajua kuigiza!waunde tu kundi then warekodi filamu
 
Kwa taarifa yenu hapo sio nyumbani kwa pinda au inawezekana amepigia kwenye ujenzi mpya anaotegemea kuuanza. Kwake mwakaa huu nimemkuta pita kuna nyumba kajengewa au sijui kajenga yeye zipo pale anapokaaa zipo kama nne hivi nzuri tu na sio kusema hapo ndipo anapokaa. Mbona ana majumba mazuri tu sehemu nyingi Dar, mimi najua ana bonge la house chanika. Hato ni maisha ya kupika tu na sio halisi.
 
Naona sasa mafisadi ndio wamekuwa kiwango cha utajiri. Pinda hawezi kuwa masikini kwa viwango vyetu watanzania. Hii mada si sahihi labda kama mletaji anataka tujadili uhalisia wa ushiriki wake (na wa viongozi wetu wengine) kwenye shughuli za vijijini ambako ndiko asili yetu wengi. Hata ile vaa yake kwenye picha is more recreational than businesslike (mkulima haswaa). Labda wenzetu wengine humu ni malodi sana kiasi cha kuona hiyo picha ni ya kimaskini. Aidha, sijui kwa nini huyu mheshimiwa anapenda kujijengea picha ya "uananchi wa kawaida" wakati kero kubwa iliyopo ni kwa serikali kushindwa kuwasaidia watanzania hasa wa vijijini kuinuka toka kwenye maisha duni.
 
Mtoto wa mkulima so what! What we need is somebody who can develop our country faster. Mimi naona Lowassa is far better!

Mh!kwenye nyekundu,nafikiri zile billion 200 za Lowassa sasa zimeanza kufanya kazi rasmi!!!
 
Pinda ni bonge la msanii,anataka kuwaadaa watanzania ili aonekane ni maskini!!!
 
Back
Top Bottom