Pinda na tumaini jipya

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,890
6,896
pd.jpg

pd2.jpg

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Askofu Mstaafu wa Jimbo la Dodoma Mhashamu Mathias Isuja katika shehe za kuadhimisha miaka 10 ya Kijiji cha Matumaini cha Dodoma kinacholea watoto yatima.

Je, Pinda ni tumaini jipya katika kuleta neema ya maisha bora kwa kila mtanzania?
 
Pinda huyu huyu? Anyway Askofu Ishuja was very influencial back then. That is just a meeting of old friends...
 
Kwa kweli pinda ni mzungumzaji mzuri sana tena kwa hisia lakini utekelezaji wake hauendani na ahadi zake sasa tuseme watendaji wake wabovu au yeye mwenyewe.Kama matumaini kayatoa sehemu nyingi sana ingawa baadhi ya sehemu katekeleza lakini kwingine imekuwa historia kwa mfano AJIRA KWA MAAFISA UGANI.
 
pd.jpg

pd2.jpg

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Askofu Mstaafu wa Jimbo la Dodoma Mhashamu Mathias Isuja katika shehe za kuadhimisha miaka 10 ya Kijiji cha Matumaini cha Dodoma kinacholea watoto yatima.

Je, Pinda ni tumaini jipya katika kuleta neema ya maisha bora kwa kila mtanzania?

hakuna kitu kama hicho ni sikio la kufa tu
 
hakuna kitu kama hicho ni sikio la kufa tu

Wakiwa na viongozi wa dini ni kama kinyonge kugeuka rangi kuakisi mazingira yanayomzunguka ndivyo viongozi wetu wa serikali walivyo. Lakini dhamira zao ndivyo zilivyo ila ni shauri ya mtaji wa ulaji?
 
Back
Top Bottom