Pinda mbona huweze kuchukua hatua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pinda mbona huweze kuchukua hatua

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kisendi, Feb 15, 2011.

 1. K

  Kisendi JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 700
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Ndugu wana JF
  Naomba, Mh Waziri Mkuu PINDA Tunakuomba uchukue hatua kama Waziri mkuu maana tatizo la umeme sasa linaipeleka Tanzania Kubaya, Baadhi ya Viwanda vinafungwa na hatimaye vijana wanakosa ajira kwa kupewa likizo bila malipo. Pia wewe kama Waziri mkuu kama Rais amepoa basi wewe chukua hatua dhabiti dhabiti. Kama ukishindwa na usiogope lawama, Tatizo letu waafrika ni woga. Why are we not moving whyyyyyyyyyyyyyyyy??

  watoto wa wakubwa hatutapenda kuwaona wanapewa madaraka makubwa makubwa?? Hii nchi ni yetu sote.
   
 2. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Mkuu Ukiona hivyo its simple tuu ukomo wa mawazo yao na fikra imefika kikomo kweli serikali inashindwa kuwa na Plan A and B or C katika Budget ya nishati kila mwaka katika vikao vya bunge bali wao ni kuja na kutupa porojo zao za kisiasa muda uende this time welevu ni wengi sana na wako macho na serikali imefika mahari haijui lipi la kusema na lipi la kudanganya kwani dunia ni kijiji watu wanajiuliza mbona Malasia imeweza kwanini sisi in 1990's uchumi wetu na Malasia was equal iweje wao walichukuwa maamuzi magumu na wakato na si tunashindwa huku we've enough resources ndani ya nchi hii zakutuwezesha nchi kusonga mbele na kukuza uchumi na kupunguza umaskini ila viongozi kila kukicha wanashindwa sema neno kwani hawana tena la kusema sera zao zimegota kabisa
   
 3. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Mkuu,
  Trust me,..huyu mtoto wa mkulima ni hovyo na muoga kuliko hata mkuu wa kaya...kinachomsaidia ni labda sura yake tu ndiyo inayoyowamis-lead watu kwamba labda ni mtu makini na siriasi kidogo kuliko mkwere.
   
 4. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #4
  Feb 15, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mmekuwa mkipiga kelele na "peoples' power", acha sasa mkumbane na "money speaks"; mtabanwa mbavu mpaka muwapigie magoti mukiwabembeleza kuwasha mitambo ya Dowans!
   
 5. Goldman

  Goldman JF-Expert Member

  #5
  Feb 15, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 847
  Trophy Points: 280
  Viongozi wamekalia stories wanashindwa kuthubutu, wanalewa madaraka, daily wanatupa stories zile zile maendeleo yanayopatikana ni kidogo kuliko yanayotakiwa, mbona Rwanda wanaendelea? Ukiwa na ideas unakutana na bureaucratic mwnzo mwisho! Yatakuja kuwa na mwisho lakini wakati tushaumia sana! Maendeleo yanahitaji viongozi wajitolee wawe wafanyakazi wa umma siyo mabwana wa uma kama ilivyo sasa
   
 6. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #6
  Feb 15, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  shockupsorber ya mafisadi hiyo........................undhani atachkua hatua gani sasa
   
 7. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #7
  Feb 15, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Pole sana mkuu!
   
Loading...