anawafuata au wanamfuata?Pasco mwenzako anataka kukutana na watu aliosema wamefukuzwa kazi kesho saa tatu asubuhi kwenye ukumbi wa CPL Muhimbili. Unasemaje hapo?
anawafuata au wanamfuata?Pasco mwenzako anataka kukutana na watu aliosema wamefukuzwa kazi kesho saa tatu asubuhi kwenye ukumbi wa CPL Muhimbili. Unasemaje hapo?
Unataka wazungumze nini! kwani kuna mgomo wa madaktari? mbona madaktari wanachapa kazi kama kawaida. wanaosema kuna mgomo ni wazushi tu.Mazungumzo ya wenye busara hayana pre condition imekuwa palestina na Is-hell case??
Kuna thread nimesoma inasema kuwa rais Kikwete ameenda Finland. Sikutaka kuiamini hiyo habari lakini inawezekana ni kweli maana sioni sababu ya Waziri mkuu kuacha shughuli za bunge na kuja Dar kama rais angekuwepo nchini!
Pamoja na blunders za watu wengine, naamini kwa dhati kabisa Speaker wa Bunge Anne Makinda anatakiwa awaombe radhi watanzania. Kwa zaidi ya week huyu mama amekataa huu mgogoro usijadiliwe bungeni. Watu wanataabika wengine wamepoteza maisha lakini yeye ameendeleza siasa. Leo kwa mara ya sita Mh Serukamba amesimama kutaka bunge lijadili, naibu katoa maelezo kuwa atapata ushauri ya kamati ya uongozi ya bunge!
Ule ujasiri anaotumia Speaker, naibu wake na wenyeviti kutoa hukumu na hata kutoa nje wabunge wa upinzani mbona unapotea kwa mambo muhimu yanayohusu uhai wa raia wasio na hatia? Kama wameruhusu watu watoe matusi bungeni badala ya kujadili hoja za wananchi wanashindwa nini kuruhusu mjadala kuhusu mgomo wa madaktari?
Duh Mkuu ni kweli madaktari wanaweza kusema hivyo! Mambo yanaweza kuwa magumu kama jiwe. Hili tego ni kama kokoro la kule kwetu Bukoba; Sangara twendee, nembe twendeee, gogogo hayaaa, dagaaa twendeee!
Mazungumzo ya wenye busara hayana pre condition imekuwa palestina na Is-hell case??
Tatizo siyo kukutana na madaktari; mazungumzo yoyote na madaktari hayawezi kuwa na maana kama Waziri wa Afya, Naibu, Katibu na Mganga mkuu bado wapo madarakani. Kanuni ya kwanza ya kujenga imani kwa madaktari ni kwa wanne hawa kuondolewa kwanza. That is a pre-condition ya mazungumzo yoyote ya maana.

Achana na mpaka poda huyo, hapa tunajadili maisha ya Watanganyika huyo mpemba hausiki kwa lolote kwenye thread hii.usituletee cryptococcal wako humu wewe mdini
Pinda kapinda, sasa ni Nyoni kunyonyoka na Mponda kupondeka.....
KWISHA
ana subiri misiba!Bado sijaelewa ni kwanini rais hajaonekana (hata kwa mbali) kutaka kutatua huu mgomo wa madaktari? Anahisi pengine huu mgomo umejaa mitego toka kwa mahisimu wake? Kuna nini hasa mpaka akae kimya kwa jambo kubwa kama hili?
Mkuu punguza methanol, naona unaanza kuwa kipofu!crap.... unfortunately!!
Pumba Express!!Mkuu punguza methanol, naona unaanza kuwa kipofu!
Achana na mpaka poda huyo, hapa tunajadili maisha ya Watanganyika huyo mpemba hausiki kwa lolote kwenye thread hii.
Mazungumzo ya wenye busara hayana pre condition imekuwa palestina na Is-hell case??
Kuna thread nimesoma inasema kuwa rais Kikwete ameenda Finland. Sikutaka kuiamini hiyo habari lakini inawezekana ni kweli maana sioni sababu ya Waziri mkuu kuacha shughuli za bunge na kuja Dar kama rais angekuwepo nchini!
Pamoja na blunders za watu wengine, naamini kwa dhati kabisa Speaker wa Bunge Anne Makinda anatakiwa awaombe radhi watanzania. Kwa zaidi ya week huyu mama amekataa huu mgogoro usijadiliwe bungeni. Watu wanataabika wengine wamepoteza maisha lakini yeye ameendeleza siasa. Leo kwa mara ya sita Mh Serukamba amesimama kutaka bunge lijadili, naibu katoa maelezo kuwa atapata ushauri ya kamati ya uongozi ya bunge!
Ule ujasiri anaotumia Speaker, naibu wake na wenyeviti kutoa hukumu na hata kutoa nje wabunge wa upinzani mbona unapotea kwa mambo muhimu yanayohusu uhai wa raia wasio na hatia? Kama wameruhusu watu watoe matusi bungeni badala ya kujadili hoja za wananchi wanashindwa nini kuruhusu mjadala kuhusu mgomo wa madaktari?
Ha ha ha eti maisha ya watanganyika, Tanganyika ipi???
"Nimeshasema madai ya madaktari ni Illusion na inabidi wakae chini wafikiri warudi kwa JOB, waache siasa za chadema kwenye maisha ya wananchi...
Mimi nawa challenge wajenge hospitali yao walipane kama wanavyotaka kama wataweza soko huru...waache wanaorudhirika na mshahara wa serikali wachape kazi..
hawawezi kuweka masharti yasiyotekelezeka..
Watendaji wakuu wa Wizara ya Afya walishaonyesha kwamba hawana busara, maana walikuwa wanaficha maradhi na sasa kifo kinawaumbua.
Watendaji wakuu wa Wizara ya Afya ni viungo kati ya serikali na madaktari, sasa kama madaktari hawana imani na hao watendaji, unategemea wataweza kufanya mazungumzo ya maana?
Rejea siku Ghasia na Mponda walipoenda kukutana na madaktari, waligoma kusikia chochote kutoka kwa Mponda maana walishampelekea madai yao lakini ama hayafanyii kazi au hayafikishi kunakotakiwa.
Kwa hiyo watendaji hao hawana sifa za kuendelea kuwa viongozi kwa kuwa wale wanao waongoza hawana imani nao na hivyo kuendelea kuwepo wizarani ni kama kuendelea kuwachochea madaktari waendelee kugoma.