Pinda kukutana na Madaktari Dar, Je anaingilia mamlaka ya Bunge?

...Pinda amechuma aibu kubwa katika historia ya utawala wake na hatakaa asahau. Sipati picha what is going through his mind usiku wa leo kwa sababu zifuatazo;-
Anaenda kukutana na madaktari ambao:-
1. Aliwaalika katika kikao Karimjee wakamsusa
2. Akatoa tamko la kuwaamuru warudi kazini/ama wajifute kazi wakamgomea
3. Atalazimika kuzumngumza na Bw. Ulimboka ambaye amemtangaza kuwa sio Daktari
4. Amelazimika kwenda kukutana nao katika ukumbi wa hospitali -CPL
 
Natamani kuona sura yake kesho itakua vipi.
Wawachimbe biti walimu tu huko,...sio watu walio spend 6-7years chuo kusomea udaktari
kwa kupekua mavitabu makubwa kila mwaka.
 
jamani mimi nilikuwa nadhani PM amemaliza share yake. Walianzia waziri wa afya likaja jopo la mawaziri na kisha waziri mkuu. Madaktari hawakutokea na yeye akatoa tamko la serikali nadhani share yake ikaishia hapo. Ilitakiwa sasa ije ngazi ya juu sasa kwa ama kukazia tamko la waziri mkuu ama kulirekebisha.

Ni kweli Mtoto wa Mkulima alishafunga Mjadala, labda hiyo kesho anakuja kuwakilisha Ngazi ya juu, tutamsoma kwa uzito wa atakayoongea (tomorrow's show will tell, if the Peasant's son is either with us or otherwise)
 
Natamani kuona sura yake kesho itakua vipi.
Wawachimbe biti walimu tu huko,...sio watu walio spend 6-7years chuo kusomea udaktari
kwa kupekua mavitabu makubwa kila mwaka.
Ualimu sio lazima usomee hata mwanafunzi wa form four anaweza kumfundisha form two. walimu ni maagent wazuri sana wa CCM na ndio wanaotumika miaka yote kwenye chaguzi zetu, waache wasulubike tu.
 
Umeshawahi kupanda Land Cruiser V8? nina uhakika hujawahi kupanda una haki ya kudhani Pinda anaweza kufanya hivyo.

Juzi Waziri Mkuu wa Romania amejiuzulu baada ya maandamano ya umma kudai kwamba serikali yake haikuwa makini kushughulikia tatizo la theluji mitaani na maeneo ya makazi ya watu wa kipato cha chini, hivyo kupelekea watu 34 kufariki dunia; pia Romania ilikumbwa na tatizo la umeme wakati wa hali mbaya ya hewa - sio mgao, bali hitilafu ya miundo mbinu hivyo kupelekea power outages. katika kauli yake ya kujiuzulu, waziri mkuu alisema serikali yake haikuwa makini, hivyo ameamua kuwajibika ili kuzuia hali ya kisiasa na kijamii isiendelee kuwa tete kwa serikali yake kubakia madarakani. Lini Tanzania tutafika huko? Na je itatokana na katiba Mpya? Au umma kuamka?
 
Pinda ataongozana na akina nani katika mazungumzo yake na madaktari? Hawa akina Mponda,Nyoni na Mtasiwa walioshindwa??
 
Watu wenye busara hawana pre condition kwenye mazungumzo...unless kama hawataki ku-end the crisis

inaonekana ulipenda kuwa daktari bahati mbaya ukawa low score hukupata chance hivyo inakuuma mpaka leo. Hivi hao watendaji wameitwa mara ngapi wao wakakimbilia kuongea na waandishi wa habari? Mwanzoni waliambiwa wawarudishe interns mnh kabla mgogo mkubwa wa madai ya siku nyingi haujaja wao wakapuuzia, wabembelezwe wa nini? Hivi watu unaofanya nao kazi wakikukataa,kwa nn ukomae kubaki? Ukiachia madaraka si utatunza heshima yako kidogo iliyobaki?
 
Akiamua kutumia nguvu madajtari nchi nzima watagoma. Serikali lazima ikubali kushindwa katika hili.

kauli yake ya jumapili ndo iliyochafua watu hata waliokuwa wanajikongoja wakagoma kabisa! Ndo maana hali imekuwa ngumu namna hii! Ukiwa kiongozi unatakiwa uangalie watu unaofanya nao kazi. Zama za zidumu fikra za mwenyekiti hazipo tena!
 
inaonekana ulipenda kuwa daktari bahati mbaya ukawa low score hukupata chance hivyo inakuuma mpaka leo. Hivi hao watendaji wameitwa mara ngapi wao wakakimbilia kuongea na waandishi wa habari? Mwanzoni waliambiwa wawarudishe interns mnh kabla mgogo mkubwa wa madai ya siku nyingi haujaja wao wakapuuzia, wabembelezwe wa nini? Hivi watu unaofanya nao kazi wakikukataa,kwa nn ukomae kubaki? Ukiachia madaraka si utatunza heshima yako kidogo iliyobaki?

Hilo ndilo tatizo, ukishajiona una akili kupita wengine na kufikiri ulifaulu kupita wengine ni maradhi tu kama maradhi; na inaonyesha kama ni daktari ni yule wa kuunga unga; maana mtu mwenye haiba hajisifu anasifiwa..

Siku makanjanja wengi japo wanavyeti udakatari..ni wanasiasa zaidi kulipa fani ya kuokoa maisha ya mtu; ndio maana daktari unaweza kurudi kwake mara 5 anakupa dawa zile zile na mgonjwa haponi..ni pombe, umalaya na fedha...ndio vitu vilivyoko kichwani

Nimefaulu kwenye fani yangu sawa na drs, sina haja ya kuwa drs by wish na so kwasababu ningeshindwa wapi...wewe uweze mimi nishindwe kwanini?
 
...Pinda amechuma aibu kubwa katika historia ya utawala wake na hatakaa asahau. Sipati picha what is going through his mind usiku wa leo kwa sababu zifuatazo;-
Anaenda kukutana na madaktari ambao:-
1. Aliwaalika katika kikao Karimjee wakamsusa
2. Akatoa tamko la kuwaamuru warudi kazini/ama wajifute kazi wakamgomea
3. Atalazimika kuzumngumza na Bw. Ulimboka ambaye amemtangaza kuwa sio Daktari
4. Amelazimika kwenda kukutana nao katika ukumbi wa hospitali -CPL

Yule naibu waziri kenge "kilaza" aliyesema hawawezi kwenda walipo madaktari kwa kuhofia usalama wao sijui anajisikiaje PInda anapokwenda kwenye "chumba cha mtihani" kuongea na wataalam

IF I WAS PINDA, NINGE-RESIGN TU!!!
 
Naibu Waziri anamiliki hospitali kubwa sana Morogoro kwa miaka mingi tu kabla hata ya kuwa waziri; Shes a medical doctor, sasa sijui hili linamweka pazuri zaidi kutatua mgogoro huu? Au pabaya zaidi?
 
Serikali ya Tanzania Mhhhhh. Mpaka wananchi watoe fundisho ili watawala wajue kwamba hakuna mwenye dhamana ya maisha serikalini. Lazima wananchi tuwawajibishe la sivyo wataendelea kuwepo sana na uzembe mara dufu. Hawamjui Mungu hawa wala kumwogopa.
 
Naibu Waziri anamiliki hospitali kubwa sana Morogoro kwa miaka mingi tu kabla hata ya kuwa waziri; Shes a medical doctor, sasa sijui hili linamweka pazuri zaidi kutatua mgogoro huu? Au pabaya zaidi?

WELL, conflict of interest to the core.... and she was disrespectful as well
 
Pinda anaweza kujiuzulu kama raundi hii atatoka sifuri tena.
Kwa mtazamo wako basi Waziri mkuu itabidi ajiuzulu iwapo tu hatoweza kufikia makubaliano na madaktari hiyo kesho; Nadhani wapo watanzania wenye mtazamo kwamba, waziri mkuu kujiuzulu is already over due kwani alishatolea maamuzi mgomo huo wiki iliyopita kwa nafasi yake kama Waziri Mkuu; lakini vile vile akiwa kama mkuu wa shughuli za serilkali bungeni, kamati ya bunge ya masuala ya jamii - Chini ya Mama Sitta na pia Waziri husika, wameshindwa kutatua tatizo husika, kwahiyo Pinda tayari ameshaanguka mara mbili katika hili; hivyo tofauti na mtazamo wako, wengine mtazamo wao ni kwamba, Waziri Mkuu hana budi kujiuzulu kutokana na mismanagement ya serikali yake, tena yeye akiwa directly involved, hali ambayo imepelekea watanzania wasio na hatia kupoteza maisha, na maisha hayo yanazidi kupotea hadi sasa tunapojadili hili;

Bunge lililopita, waziri mkuu alitangaza rasmi msimamo wa serikali juu ya waganga wa kienyeji kama babu wa Loliondo na kusema serikali haiwatambui hao; Je, Serikali inatambua kwamba, kutokana na uzembe wa serikali juu ya mgomo huu, Waganga wa kienyeji ndio wamekua kimbilio kubwa la watanzania wengi kwani hawana uwezo wa kwenda kwenye hospitali binafsi?
 
Ualimu sio lazima usomee hata mwanafunzi wa form four anaweza kumfundisha form two. walimu ni maagent wazuri sana wa CCM na ndio wanaotumika miaka yote kwenye chaguzi zetu, waache wasulubike tu.

Karibia 70% ya watumishi wa Serikali Tanzania ni waalimu.
 
Bado sijaelewa ni kwanini rais hajaonekana (hata kwa mbali) kutaka kutatua huu mgomo wa madaktari? Anahisi pengine huu mgomo umejaa mitego toka kwa mahisimu wake? Kuna nini hasa mpaka akae kimya kwa jambo kubwa kama hili?
Kama kawaida yake hajui chakufanya anasubiri matokeo atoe lawama kwa mtu mwingine. He is playing the game behind the scene. What a shame!
 
Back
Top Bottom