Pinda: Karibu asilimia Tisini na Tisa (99%) ya Wanzanzibar ni Waislam

Status
Not open for further replies.
Unaonaje kama kwenye sensa kingekubalika kile kipengele cha dini ! Ni kujifanya kujua zaidi ,hata huku Tanganyika waislamu ni 85% waliobaki wanaabudu masanamu au hawana kabisa.
Unawakwaza waislamu wenzako hasa wale wenye mitazamo chanya juu ya imani.
Mkuu umefunga??


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
chadema wadini sana... Tutasikia mengi!

Well done pinda ...
 
kwa hiyo watu wote wa zanzibar wamelazimika kufunga?

wanatakiwa waheshimu mwezi mtukufu kama kula kale nyumbani kwako.. Kama vinguo vya kipuuzi kamvalie mumemo mkiwa chumbani ...
 
Kwani kuna uhusiano gani kati yangu kula chakula ambaye sina commitment na Mungu wangu kwa wakati yaani kufunga, nikila chakula changu ambacho ni jasho langu na haki yangu kikatiba nitakuzuia nini wewe na imani yako?? Kulingana na katiba ya Tanzania nchi serikali haina Dini ila watu wake wana Dini kwa majibu ya Mheshimiwa Waziri Mkuu amepotosha umma na anatakiwa aombe radhi kwani anatakiwa kusimama kama baba asiyekuwa na ubaguzi. Ikumbukwe kuwa suala la Kufunga halihitaji matangazo kwani it is personal and unfortunatly at this particular period of time production goes down bse some individual can not work for 9hrs.
 
kisa nimesema ukweli???? Siyo wote ni waislamu hata kidogo na wala uislam wangu ama wako haumfanyei mwingine akose uhuru hata kwa mambo yake binafsi. Itakuwa si haki.
sema dada langu, yaani nimekukubali ile mbaya. Ungekuwa karibu ningekupa ofa wewe na mashostito wako mpaka mseme basi.
 
Sikuppenda majibu ya Mh Waziiri Mkuu... Niulize! KWANINI SERIKALI YA MUUNGANO TUNAWAOGOPA SANA WAZANZIBAR? Najisikia kukereka ingawa kweli jambo limejibiwa kwa feva yetu......
 
sema dada langu, yaani nimekukubali ile mbaya. Ungekuwa karibu ningekupa ofa wewe na mashostito wako mpaka mseme basi.

aaah! sasa usinibanie best wewe ilete hata kwa airtel money aisee manake duh, miye na cacico ltumepanga kutoka saaa kumi so ukitupa company moneytory wise so mbaya nikuchek pm nini?
 
Last edited by a moderator:
Kila nikiwawazaga hawa watu wenye akili fupi kama suruali zao huwa nachoka!!..mi takwimu zangu zinaonesha kuwa asilimia 90 ya wachawi ndo wale wanaokazana kuabudu na lugha ambayo hata hawaijui,kazi kukariri tu!sh¥*¤§


Safi sana kila mnapoudhika mnaonyesha mlichoficha mioyoni mwenu'nakuudhihirisha mnavyouchukia uislam,jibu liko wazi kbs CDM adui yao namba 1 ni muislam!
 
Wana- JF,

Hivi punde katika kipindi cha maswali na majibu Waziri Mkuu, Pinda ameulizwa swali na Mh. Mchungaji Msigwa kuwa huko Zanzibar kuna tamko limetolewa na kiongozi mmoja kuwataka wafanyabiashara wote wa mahoteli kutokuuza chakula hasa wakati wa mchana kwa vile waislamu wako katika mfungo wa Ramadhani. Mbali na hilo kuna pia agizo kuwa wanawake wasivae nguo fupi katika kipindi hiki kwa vile wanawatamanisha wanaume.

Aidha, Waziri mkuu amesema amri ya kutokuuza chakula huko iko sawa kwa vile mazingira ya huko zanzibar yanaonesha kuwa asilimia kama tisini na tisa (99%) ya wananchi huko ni waislamu. Licha ya kuingilia haki za watu wengine na imani za watu wengine, naona kwa mtazamo wangu suala hili halikutakiwa kujibiwa namna hiyo na Waziri Mkuu.

Naomba wenye takwimu watuambie kama kweli 99% ya wananchi wote ni waislamu na kama watu wengine wanaoishi huko hawana haki kwa mujibu wa Katiba.

Nawasilisha.

Huyu MCHUNGAJI Pamoja Na Pro CHADEMA Itakuwa Roho Zinawauma Sana Kuona WAISLAM WAKIFUNGA NA KUFANYA IBADA NDANI YA HUU MWEZI MTUKUFU!... MCHUNGAJI Try To relax, MUDA WA IFTARI UKIFIKA NENDA IKULU KWA DR. JK YOU WILL drink something cool, as you sound delirious.
 
Ushauri wa Bure Kwa Pinda " Awe anafikiri kabla ya kuropoka" Kauli zake nyingi zilishamtia matatani lakini bado hajivunzi. Ka hujui kitu kutokujibu pia ni option.
 
kuwa wengi haisaidii katika maendeleo, Tanzania inataka watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiri na kuamua mambo ili kuiletea maendeleo nchi hii na siyo wingi wa waumini wa dini fulani tena majua na masikini wakutupwa.
na hapo watz ndipo tumepotelea, kushindwa kupambanua kati ya QUALITATIVE vs QUANTITATIVE!.
...ofisa wa ofisi ya umma anaiba billion sita za kupeleka mradi wa maji kijijini kwake alafu anazificha benki za Ulaya na Dubai lakini asiguswe kwa maana ni Dini yetu/kabila letu/classmate wetu/mshirika wetu ....

 
Sasa huyo Pinda hiyo 99% anatoa wapi? Anaongeaje takwimu Bungeni huku ikiwa hana uhakika.!!!!

Religion

The most commonly practised religion is Islam. About 95% of Zanzibar's population follow the laws of Islam (see Islam in Zanzibar). Its history was influenced by the Arab and Persian people. The remaining 5% are mostly Christians.[SUP][28][/SUP]
There are six Catholic churches in Zanzibar. The Anglican Cathedral in Zanzibar's multi-ethnic old town (Stone Town) is the headquarters of a single diocese of the Anglican Church of Tanzania. Founded in 1892 as the Diocese of Zanzibar and Tanga, it was split in 2001 into two separate dioceses. The Diocese of Zanzibar consists of seven churches, and has 2,000 members.[SUP][29][/SUP] There are many burial places around the outskirts with interesting headstones and graves, and some important graves in the town itself, usually of religious leaders of the past. There are also Evangelical Christian churches in Zanzibar Town. Some distance from Zanzibar Town are other Christian churches such as Evangelistic Assemblies of God Zanzibar (EAGZ) which is at Kijito Upele-Fuoni Zanzibar, pioneered by the Founder for Evangelical Movement in Zanzibar, Rev. Leonard Masasa. Another church is Tanzania Assemblies of God which is at Kariakoo. There are now more than 25 Evangelical churches in Zanzibar. There is also a small population of Bahá'ís (see Bahá'í Faith in Tanzania).

SouRce data 1954. kumbuka waislam kuoa mwisho wake 4 ; so 99% is TRUE for 2012 AND 2020==99.9%
 
Kwahiyo hata watalii na waendaji wengine huko kwa kipindi hiki ni lazima wafunge. Ama kipindi hiki hakuna shughuli nyingine kuendelea huko isipokuwa mfungo tu?
 
Mbona hata Q-bar nakutana na machangudoa wengi tu waislamu? Tenganisha dini na serikali
 
kaaz kweli, wazanzibar wanataka mila na tamaduni zao ziheshimiwe.
Ushauri: Ukipenda boga penda na ua lake, ukiamua kuishi znz, fuata mashart yao.
Huku kwetu udanganyikani walaaaaa....
 
Zanzibar hakuna wakiristo ila kuna agenda ya siri ,Muislamu yeyote yule kwa mliopo Unguja mnajua kuna vipindi vya dini mashule,ukitaka kuona wanachofundishwa wakiristo huko mashule ,liibe daftari la dini la mkiristo halafu lisome ,uangalie ni jinsi gani wanavyopotoshwa juu ya uislamu ,namna wanavyofundishwa utaona wanapotezza muda mwingi kuujadili uislamu kwa njia za upotoshwaji , hukuti katika vyuo vya Uislamu kunajadiliwa ukiristo au kunafundishwa ukiristo hapo zanzibar kwanza wakati huo haupo kuujadili Ukiristo.
 
Hypothesis test

Null Hypothesis 99% of Zanzibaris are Muslim
Alternative hupothesis Zanzibaris who are Muslim are less than 99%

My take
Result for sample test taken from Pemba may give same answer as Hon. Pinda BUT for sample taken from Unguja may deffer with Hon. Pinda's
 
Mbona hata Q-bar nakutana na machangudoa wengi tu waislamu? Tenganisha dini na serikali

Unashindwa kuelewa unachokizungumza ,hivi uliambiwa katika waislamu hawana hayo ,kwenye waislamu hakuna kisichokuwepo. wao sio malaika. huku kuna dhambi vile vile ,ama kweli naamini watu wengine ni vihio.
 
Safi sana kila mnapoudhika mnaonyesha mlichoficha mioyoni mwenu'nakuudhihirisha mnavyouchukia uislam,jibu liko wazi kbs CDM adui yao namba 1 ni muislam!

we t.ako nini!!aliyekwambia mimi nina chama nani!!badala ya kusoma na kutafuta maisha mazuri mnajazana chuki na kukariri hata msivyovielewa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom