Pinda said:Iwapo mnataka kumchagua tena Rostam zingatieni amewafanyia nini katika ubunge wake. Msisikilize kile kinachosemwa bungeni juu yake. Bunge lina mambo yake, mimi kama Waziri Mkuu nafahamu mambo ya pale bungeni, alisema Waziri Mkuu.
Huyu mzee siyo fisadi isipokuwa anafikiria watu wote wako innocent kama yeye, hawezi ku-grasp kwamba sasa anatumika...yaani akili yake ni nzito kama kondoo inachukua muda mrefu sana kuelewa kinachoendelea...
Pinda dunia uwanja wa fujo bado uko usingizini unasafisha wasiosafishika
Tuliambiwa na JK na Pinda mwenyewe kwenye mikutano ya Bunge kuwa mswaada kuhusu kutengansha siasa na biashara upo njiani;na walituambia utapelekwa bungeni kwenye kikao kijacho cha Bunge ambapo wafanyabishara HAWATARUHUSIWA KUGOMBEA nafasi za kisiasa za kuchaguliwa!
Sasa kama Rostam Azizi anajulikana kuwa ni mfanyabiashara mkubwa,iweje PM Pinda audharua waraka aliotueleza wenyewe watz?Ndiyo kusema ule mswaada wa kukataza wafanyabishara kugombea hauletwi tena Bungeni kupitishwa na hatimaye Rais autie saini kuwa sheria?
Mwenye dondoo kuhusu mswaada huu please atueleze!
Suala sio kushinda, ila ni kusafishwa. Kwamba kule Bungeni ni majungu tuu na umbea juu ya Rostam, according to Pinda.Msiwe na akili za mbogo nyie.. Inamaana wananchi wa Igunga huyu sio waziri mkuu wao..? DO you really think that Rostam needs Pinda kwenda jimboni kwake ili ashinde?lol Ameapa kutumikia Jamhuri yote including Igunga so STFU!
kukataa tamaa juu yake mwanakijijii ulikosea kwani ulikuwa unamlinganisha labda na wenzake na kupata matumaini ya muonekanoo wakee...miye nilishakata tamaa naye; madaraka ni kitu kibaya sana hasa yakiwa mikononi mwa watu kama yeye..
Iwapo mnataka kumchagua tena Rostam zingatieni amewafanyia nini katika ubunge wake. Msisikilize kile kinachosemwa bungeni juu yake. Bunge lina mambo yake, mimi kama Waziri Mkuu nafahamu mambo ya pale bungeni, alisema Waziri Mkuu.
Waziri Mkuu aliendelea kusema .......nafahamu mambo ya pale bungeni ni ya UZUSHI na UMBEA wala msiwe mnayasikiliza sana......kaazi kweli kweli