Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,681
- 8,233
Pinda Jiuzulu kazi imekushinda
Huwezi kuwa waziri mkuu wakati huo huo unalidharau Bunge. Waziri mkuu Pinda ni wakati wako sasa wa kujiuzulu kwa kauli yako uliyoitoa na kulidhalilisha bunge. Kama huwezi kujiuzulu ni wajibu wa rais kukuwajibisha na kama JK hawezi kuchukua uamuzi huo ni jukumu la bunge kumpiga marufuku kuhudhuria vikao vya Bunge hadi atakapoomba msamaha kama sheria inaruhusu kuzingatia kanuni za Bunge.
Alipoapishwa hapo juu aliapa kuilinda katiba na sio marafiki na Mafisadi papa.
Je ni huyu Pinda ambaye tunamlipa bonge la fweza ambaye anakuja kulikashifu Bunge la Jamhuri?
Pinda said:Iwapo mnataka kumchagua tena Rostam zingatieni amewafanyia nini katika ubunge wake. Msisikilize kile kinachosemwa bungeni juu yake. Bunge lina mambo yake, mimi kama Waziri Mkuu nafahamu mambo ya pale bungeni, alisema Waziri Mkuu.