Pinda jasiri sana kamzidi hata lowasa

huu ujasiri wa namna hiyo haufai hata kidogo, kwa mtazamo wangu huo sio ujasiri. acheni kudanganya!
 
walifika kazini wakasaini rejesta ya mahudhurio lakini hawakufanya kazi (so technical) wangejifukuzaje?.
Ni sehemu chache ilikuwa hivyo, nadhani mbeya.
Virtually hakuna kitabu kilisainiwa na daktari yeyote Muhimbili na MOI
 
NI juzi tu mh pinda alimkataa Dk. Ulimboka kuwa si daktari, tusome habari hii ya tanzania daima kujikumbusha
Kiongozi wao si daktari

Katika hatua nyingine, Pinda alisema kuwa katika uchunguzi wao walibaini kuwa kiongozi wa mgomo, Dk. Ulimboka alihitimu shahada ya udaktari katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2004 na kupata usajili wa muda No. 2022 wa Baraza la Madaktari mwaka huu na kupangiwa internship Muhimbili.
Alisema kuwa Novemba 2005, aliongoza mgomo wa madaktari nchini na usajili wake ulisitishwa na kushtakiwa mbele ya baraza hilo kwa ukiukaji wa maadili ya taaluma ya madaktari kwa kutishia na kufanya mgomo.
Mwaka 2006 Rais alimsamehe na hivyo kurejeshewa usajili na baraza na kuruhusiwa kuendelea na internship.
"Katika kumpa taarifa za msamaha wa Rais, Wizara ya Afya na Baraza la Madaktari walimtaka Dk. Ulimboka kutojihusisha na migomo au suala lolote kinyume na maadili ya udaktari ambapo Februari 2, 2007 alikiri sharti hilo kwa maandishi.
Hadi sasa hakuna taarifa kama alimaliza internship kwa kuwa hajawasilisha cheti cha kumaliza mazoezi hayo na hatuna taarifa anafanya kazi wapi ila si mtumishi wa serikali na hajasajiliwa kama daktari, alisema Pinda.
MYTAKE
kwa mtazamo wangu pinda ameonyesha ujasiri wa kujidhalilisha sana kama waziri mkuu kutosimamia kauli zake
wB4E37DP9isEgAAAABJRU5ErkJggg==

NAWASILISHA
Nakubaliana na wewe mia kwa mia mkuu. Umeitendea haki picha ya Mzee Sokoine...
 
Pinda anaonea wanawake.

Jairo alipolikoroga alisema hana mamlaka juu yake, leo kalikoroga Nyoni kamsimamisha kazi. Ina maana mamlaka ya PM ni juu ya wanawake tu?
 
Ah! jamani huyu waziri mkuu vipi mbona kigeugeu sana? nakumbuka aliwachimba mkwara madaktari kwa kuwaambie ambaye hataripoti kazini atakuwa amejifukuzisha kazi, wazee wakaendelea na mgomo kama kawa mbona sasa karudi na kuwalamba miguu chondechonde madaktari wangu niko chini ya miguu yenu nawaomba mrudi kazini, Vipi kama wangegoma tena sijui angeshusha machozi kama kipindi kile kwa wale waliokuwa wakiua albino. I HATE POLITICS!
 
Kuna tatizo. labda anasahau haraka alichosema awali. Huyu mtoto wa mkulima alianza vizuri sana lakini sasa mh!
 
Kuna tatizo. labda anasahau haraka alichosema awali. Huyu mtoto wa mkulima alianza vizuri sana lakini sasa mh!
lakini si anawashauri vp au wanamshauri vibaya..unajua alisahau kama alikuwa anawaamuru watu gani..mwenzie kikwete aliwaonea walimu goigoi wasiojitambua yeye kauingia mkenge ila ni aibu sana
 
Ampe ulimboka u_naibu waziri wa afya ili wamnyamazishe kama mgaya
Mgaya kawahi kufanya nini zaidi ya kuongea kwenye TV.
Kuna hata mtu mmoja aliacha kwenda kazini kwa kushawishiwa na Mgaya?
Mgaya alivuma kwa kubwabwaja.
Ulimboka ametambulika kwa KUTENDA
 
lakini si anawashauri vp au wanamshauri vibaya..unajua alisahau kama alikuwa anawaamuru watu gani..mwenzie kikwete aliwaonea walimu goigoi wasiojitambua yeye kauingia mkenge ila ni aibu sana

duh tusi hilo walimu
 
Ah! jamani huyu waziri mkuu vipi mbona kigeugeu sana? nakumbuka aliwachimba mkwara madaktari kwa kuwaambie ambaye hataripoti kazini atakuwa amejifukuzisha kazi, wazee wakaendelea na mgomo kama kawa mbona sasa karudi na kuwalamba miguu chondechonde madaktari wangu niko chini ya miguu yenu nawaomba mrudi kazini, Vipi kama wangegoma tena sijui angeshusha machozi kama kipindi kile kwa wale waliokuwa wakiua albino. I HATE POLITICS!
Alipokutana nao maneno yake yalikuwa hivi
"chondechonde.... pliz pliz......, nawabembeleza............ nawaombeni sana.... "
 
kama hamsimamii mnachokidai tuwaite nn? Mtu timamu husimamia maamuzi yake mpaka mwisho

Watasimamia vipi maamuzi yao wakati 90% ni walioshindwa mitihani na vilaza ambao hawana njia nyingine yeyote ya kujikimu kimaisha endapo watafukuzwa kwenye huo ualimu.
 
Painfully truth.
Hii profession ya ualimu imejengeka kuwa waliofeli ndo wanenda huko.
Ni sawa na Uandishi wa habari.
 
Viongozi wa nchi hii hasa mawaziri ingekuwa majibu wanayotoa yanasahihishwa wangepata zero minus.
 
Back
Top Bottom