Pinda hatudanganyiki ng'o wembe ule ule.

Loyal_Merchant

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
623
267
Kauli ya pinda ya kumzuia magufuli n ya kisiasa na haina msingi wowote, wanataka wapunguze kama c kuondoa munkari unaoweza tokea pale majengo yatakapovunjwa na kuijengea ccm taswira nzuri kwa wananchi, tumeishtukia hyo na hatudanganyiki kwan tumech6ka na serikali ya wahuni ya ccm.
 
Back
Top Bottom