Pinda awasimamisha katibu mkuu wa wizara ya afya na mganga mkuu

ASIMAMISHE NA HAWA BASII HANA ADABU AKAMSIMAMISHE NA YULE BINTI KIROBOTO ALIESIMAMISHA MJADALA WA MA DK BUNGENI NAIBU WAKE ANARUHUSU HII SERIKALI YA KIHUNI SIJUI IMETOKEA WAPI
rushwa.JPG
 
Kwa hiyo ameahirisha kufukuza madaktari waliogoma? Au alikuwa anatania tu
 
Habari toka mkutanoni kati ya waziri mkuu na madaktari zinasema waziri mkuu kawasimamisha kazi katibu mkuu wa wazara ya afya na mganga mkuu huku akimuachia rais kuwatimua waziri na naibu wake.
Chanzo: madaktari walio katika kikao na waziri mkuu.
isije ikawa changa la macho kama kawaida yao.ngoja tuone kwanza.....
 
Katika kikakao kinachoendelea sasa Muhimbili Waziri Mkuu amemsimamisha kazi Katibu Mkuu 'NYONI:
 
Sio kumsimamisha kazi, fukuza kabisa hiyooo, ikose hadi mafao. Katibu mkuu gani haondgei na bosi wake Naibu Waziri?
 
MAMUZI MAZITO KWENYE HIVYO VIDAGAA..?? Hapo ndo simuelewi PM........ madaktari walishajifukuzisha kazi tangu siku ile aliposema, leo kawasimamisha hao wawili.......... SIONI MAAMUZI MAGUMU YOYOTE HAPO.......... ALIOWASIMAMISHA NI WALAINI TUU.......... AACHE KUHANGAIKA NA VIDAGAA, ASHUGHURIKE NA MIPAPA............

maana pinda ni msimamizi au ni kiongozi wa serikali na pia mawaziri naamini maamuzi akiyatoa atayatoa kwa niamba ya raisi sasa anaacha viporo vya nini
 
Kama jairo alishindwa kufuzwa na pinda, Nyoni yawezekana vipi? Mbona usanii mtupu Shitttttttttttttttt. Watanzania kwanza sisi tujidharau, kushindwa kudai kuanzia kwa mbayuwayu wote wanapaswa kuachia madaraka
 
Back
Top Bottom