Pinda awasimamisha katibu mkuu wa wizara ya afya na mganga mkuu

asafiche wizara yote kuanzia juu,
na nyie drs. fungeni midomo mpaka awaondoe wote.
mkikubaliana naye hivi hivi, mmmh, mtatuambia.
 
Kwa nini asimfukuze kabisa? na yeye pinda anasubiri nini ofisini? hivi si ndo alisema madai ya madaktari kuhusu Blandina Nyoni sio ya Msing? leo amekumbuka nini? amechelewa shuka halina kazi kwa sababu kumeshakucha.
 
Je wale Ma Dr waliogoma kurudi kazini imekuwaje? amefuta kauli yake au kapotezea? Huyo Nyoni atapewa ubalozi au ukuu wa mkoa soon. Raisi wetu huwa hajui kufukuza watumishi wake.
 
Hapa kuna double standard. Katibu mkuu Nishati na Madini (Jairo) alikosa mamlaka ya kumsimamisha kazi imekuwaje wa Afya aweze? Au Nishati na Madini ina mwenyewe?

Tofauti ya kuku na bata kwenye kujisaidia, Akiny*** bata kachafua, kuku ....
 
Sasa procesz ya kuwafikisha mahakamani inabidi ianze mara moja. kuna ushahidi wa kutosha kuhusu ufisadi aliofanya Blandina Nyoni na Mtesiwa.
 
Siajwai ona waziri mkuu kama huyu!
Jioni mtasikia mengine Ikulu yakanusha!
 
Hana mamlaka hayo.........mmeshasahau ya JAIRO?

Jamani Jairo alikuwa katibu mkuu wa Wizara na Pinda alisema hakuwa na mamlaka ya kumsimamisha kazi kwani ni mteule wa Rais. Sasa kwa Blandina Nyoni uwezo huo kaupata wapi hali na yeye ni mteule wa Rais kama alivyokuwa Jairo? Hapa kuna double standards zinatumika!!!!!

Tiba
 
Hapa kuna double standard. Katibu mkuu Nishati na Madini (Jairo) alikosa mamlaka ya kumsimamisha kazi imekuwaje wa Afya aweze? Au Nishati na Madini ina mwenyewe?

Nami napata kigagasiko juu ya hili
 
Je wale Ma Dr waliogoma kurudi kazini imekuwaje? amefuta kauli yake au kapotezea? Huyo Nyoni atapewa ubalozi au ukuu wa mkoa soon. Raisi wetu huwa hajui kufukuza watumishi wake.

Raisi ??? hivi hii inchi ina Raisi kweli?? toka lini mtu akafuta kazi mademu zake??? hahaaaa watanzania mnadanganyika na vitu rahisi kweli....mnapigizana makelele mwenzenu yuko chumbani anapigwa AC na kutweta vibaya sana ....utamtaka mtoto wa msoga..
 
Kwa hiyo ameahirisha kufukuza madaktari waliogoma? Au alikuwa anatania tu

Ule ulikuwa utani, utani ambao umegharimu maisha ya watanzania kadhaa waliokufa kwa kukosa huduma za madaktari. Sijui kwa nini Pinda naye asijiuzulu tu?

Tiba
 
Hapa kuna double standard. Katibu mkuu Nishati na Madini (Jairo) alikosa mamlaka ya kumsimamisha kazi imekuwaje wa Afya aweze? Au Nishati na Madini ina mwenyewe?

Pinda atakuwa amekurupuka kwani hiyo ni presidential appointment. Ukute kaagizwa na JK akamsimamishe naye bila kufikiri na kupitia kanuni katamka kumsimamisha kazi? kama kisheria anaweza kufanya hivyo mbona kwa Jairo alishindwa kama Chakaza alivyo chakaza hapo juu!!
 
Je ni kweli? Najiuliza leo PM kapata wapi mamlaka ya kumsimamisha kazi katibu Mkuu? Kama ni kweli baada ya siku chache tutege,ee kusafishwa kwa Katibu Mkuu na Tume itakayoundwa....PM asubiri kulia tuu next wk.
 
hatudanganyiki...anataka tumuamini halafu vasco da gama akirudi akanushe.mbona madai yetu mengine hataji.vp kuhusu kuboresha mazingira ya kazi?vp kuhusu mshahara?na kupandisha call kutoka elfu kumi mpaka elfu ishirini ni matusi.i think tuendelee na tools down mpaka hapo watakapokua serious...
 
Hapa kuna double standard. Katibu mkuu Nishati na Madini (Jairo) alikosa mamlaka ya kumsimamisha kazi imekuwaje wa Afya aweze? Au Nishati na Madini ina mwenyewe?

Usisahau Mkuu upo Tanzania!Lolote linaweza fanyika!
 
Back
Top Bottom