Pinda awashauri madiwani wa CHADEMA kwenda mahakamani

Pinda akiwa kwenye suti ya wananchi ... ccm mmekamatwa mkitaka ku-penetrate chadema na bado hamjui cdm ni movement sio jumuia ya wahuni kama yenu. Majitu yanapenda uchawi na kuambukiza matatizo yao kila mahali. Pinda unasomesha watoto nje, unakwenda oversea lakini huwezi kuleta unachokiona huko .... hivi nyie ni nini vichwani?

Pinda, get off your hand over our movement. Devil is a devil.

Pinda bwana...ni bora kajibu hivyo ili kuwaridhisha magamba wenzake..maana angeanza kulia hapo sijui huyo chatanda angeenda kumfuta machozi?? Serikali legelege inayatoa machozi hadharani eti kuonea wananchi huruma huku waking'ata na kupliza

Binafsi nimependa ushauri wa Waziri Mkuu kwa madiwani wa Chadema; kwani umeset up vizuri sana siku chama hicho kitakapowatimua kina fulani!

Nasikitika kusema kuwa Tanzania kwa sasa hatuna PM. Pinda ni one of the weakest and worst PM Tanzania had ever! Hakika tuna PM mbaya kama sura yake. Alichoongea Pinda ni porojo na propaganda za kinafiki perce! Hapa ndipo watu tunaweza ku-analyse na kujua what kind of a PM we have.

WM ni mkuu wa shughuli za Serikali Bungeni. Inasikitisha huyu Pinda mambo yanaenda alijojo ndani na nje ya Bunge lakini jamaa amekaa na kukunja uso wake kama zezeta! Tuangalie mifano michache tu kama SAKATA LA MAFUTA,tulitegemea yeye Pinda kama Mkuu wa shughuli za serikali Bungeni ATOE TAMKO LA SERIKALI!!!Lakini hatukuona kitu kama hicho badili yake kijitu kama Januari ndiyo kitoe tamko la dharura kweli????!!!!Where is our PM?Kuna sekeseke la Jairo,Umeme,UDA n.k Pinda anaonekana kupwaya kabisa. HAFAI!!

Lakini inapokuja swala la CHADEMA utaona anavyokomaa! Pambaf kabsa. Una acha kuzungumzia sensitive issues unakomalia CDM! Nonsense.
Mbona CCM wameshatangaza rasmi kujivua magamba tayari RA keshatoka,bado Chenge na Lowassa mbona CDM hawajasema RA na hao wengine watakapotimuliwa waende mahakamani???

Pinda acha unafiki zungumza kama PM mwenye busara kwa Mamlaka uliyopewa.

Kwa kweli huyu mtoto wa mkulima amefulia, lakini si shangai ndio walivyo magambo, majibu kwa maswali ya chadema wanayo but ya mafuta, umeme hawana, nashangaa sana, acha wajimalize kwani tunayaona yanayojiri bungeni.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amewaruka viongozi wa Chadema, akiwamo Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe akisema hawakufikia hatua ya kuunda kamati ya pamoja ya kitaifa katika mazungumzo yao ya wiki iliyopita kuhusu kutafuta suluhu ya mgogoro wa Umeya wa Jiji la Arusha.
Msimamo huo wa Waziri Mkuu unapingana na ule wa Mbowe aliyetangaza mara baada ya mazungumzo hayo kwamba wamekubaliana kuunda tume hiyo ya na taarifa yake ya awali ikiwa imepokewa na kujadiliwa na Kamati Kuu (CC) ya Chadema iliyoketi mjini Dodoma kuanzia Agosti tano mpaka sita.
"Nilikutana na Mbowe Agosti sita mwaka huu saa tatu asubuhi, baada ya kuniomba nikutane nao nyumbani kwangu. katika mazungumzo yetu lilijitokeza suala la Arusha ambalo walionekana kulitilia shaka na kutaka upatikane ufumbuzi kwa maslahi ya wananchi.
Pinda alisema msimamo wake katika mazumgumzo hayo kama ni ufumbuzi basi anayeona hakutendewa haki angekwenda Mahakamani.
SOURCE: MWANANCHI AGOSTI 12 2011

Namwomba ndugu yetu kipenzi cha wengi, Mwanasaikolojia, Dr. Mh. Mbunge wa Bunge la East Africa, Meya wa Jiji, Mh. Masaburi atufafanulie kuwa Pinda nae anafikiri kwa kutumia nini! Karibu Sheikh Masaburi.

Ritz achana na siasa za majitaka CDM siku zote wako kwaajili ya kupindisha mambo.Hakuna kamati wala kamata mwendo mdundo madiwani mashujaa watapiga mzigo kama kawa kikao cha kamati kuu CDM maamuzi yake hayana tofauti na maamuzi ya vikao vya kitchen party.

Kweli hawa jamaa wamefuliaaa.... ndio maana wanaambiwa wanafkiria kwa kutumia makalio hahahaa

Binafsi nimependa ushauri wa Waziri Mkuu kwa madiwani wa Chadema; kwani umeset up vizuri sana siku chama hicho kitakapowatimua kina fulani!

Una uhakika hayo unayoongea Mzee Mwanakijiji?
Maana niwaonavyo ccm hawawezi kufanya wanacho fanya CDM

Kuna uthibitisho wa usemi wangu.
.......Hakuna aliye msafi CCM

waziri mkuu mizengo kayanza pinda amewashauri madiwani wa chadema kwenda mahakamani kama wanaona hawakutendewa haki na chao kwa kuvuliwa uanachama, alikuwa akijibu swali lililo ulizwa na mbunge mary chitanda leo bungeni.
badala ya kwenda mahakamani kupoteza muda kwani kila kitu kipo wazi - kwa nini asiwashauri wajiunge na CCM? we normally follow the easy root root in life.

Kwa kweli kauli hizi ni za kidhalilishaji sana mkuu. Wewe unajijuaje kama una sura nzuri? Tuwajaji watu kutokana na utendaji wao na si muonekano wa kimaumbile. Pinda hakujiumba sawa!!

Akili yako fupi kama maisha ya funza!mafanikio yako na hiyo sura yako nzuri yako wapi?

Kwani Cheyo alipowafukuza uanachama kina Dani Makanga na jidulamabambasi,Pinda si alikuwepo? Mbona hajawashauri wakimbilie mahakamani zaidi ya kumkaribisha makanga ccm na wamempa ukuu wa wilaya! Mambo ya Ngoswe mwachie Ngoswe!

Kufukuzana kama kuku ndio tabia ya cdm, halaf mishabik yao inafurahia!! Wenzao wanakusanya wao wanatawanya, ni ubinafsi unaokitafuna chama! Kama wapo fiti wamfukuze na simba wa vita shibuda, chama kitakufa
Leo katika mkutano wa hadhara Arusha mhe. Marando amemjibu PM kuwa kama sheria anaifahamu basi anamuomba akawe wakili wa madiwani wa5 waliofukuzwa uanachama huku yeye (Marando) akiwa upande wa pili halafu ataona kama anafahamu sheria au anaigiza na kuropoka alichowatuma hao madiwani waliokuwa CDM!

My take.

Mhe. Pinda akashughulikie matatizo ya magamba kwanza ndipo awe msemaji wa CDM. Kuna mambo mengi sana huko ccm anayoweza kufanya, kama hayaoni aseme tumuonyeshe. Kwa kuanzia tu, akawafukuze kwanza akina EL na AC, na awashauri kwenda mahakamani kama hawataridhika na maamuzi.

Kifupi ni kwamba CHADEMA imethubutu kufanya kile ambacho ccm sio tu hawawezi kufanya ila hawatakaa waweze kukifanya mpaka itakapokufa hivi punde!

Kufukuzana kama kuku ndio tabia ya cdm, halaf mishabik yao inafurahia!! Wenzao wanakusanya wao wanatawanya, ni ubinafsi unaokitafuna chama! Kama wapo fiti wamfukuze na simba wa vita shibuda, chama kitakufa

Hv Nape anahubiri nini vile? Kujivua gamba na kuwatimua EL,RA na Chenge? Shibuda ana nin mpaka akifukuzwa chadema ife? Kama mtoto akikosea anafukuzwa kwao vyp kwa mwanachama mtovu wa nidhamu?

Back
Top Bottom