Pinda awashauri madiwani wa CHADEMA kwenda mahakamani

Ritz achana na siasa za majitaka CDM siku zote wako kwaajili ya kupindisha mambo.Hakuna kamati wala kamata mwendo mdundo madiwani mashujaa watapiga mzigo kama kawa kikao cha kamati kuu CDM maamuzi yake hayana tofauti na maamuzi ya vikao vya kitchen party.
inajulikana sasa kwa maneno yako ni kwamba for the last time CCM na Pinda anayeongoza TAMISEMI hataki kutumia njia za kidiplomasia kitakacho fwata ni Mahakama ya UMMA itakayoamua soon and very soon
 
Kufukuzana kama kuku ndio tabia ya cdm, halaf mishabik yao inafurahia!! Wenzao wanakusanya wao wanatawanya, ni ubinafsi unaokitafuna chama! Kama wapo fiti wamfukuze na simba wa vita shibuda, chama kitakufa<br />
<br />
Mtindo wa kufukuzana kwa Kukolimba watu ,KuSalim Salim au Kubutiku na kuchenge na kulowasa ni wa CCM
 
waziri mkuu mizengo kayanza pinda amewashauri madiwani wa chadema kwenda mahakamani kama wanaona hawakutendewa haki na chao kwa kuvuliwa uanachama, alikuwa akijibu swali lililo ulizwa na mbunge mary chitanda leo bungeni.


atangaze kabisa kuwa yeye ndiye atakuwa wakili wao. sijui yukoje huyu
 
atangaze kabisa kuwa yeye ndiye atakuwa wakili wao. sijui yukoje huyu
<br />
<br />
Hahaah! Mkuu unanifurahisha. Atakuwa wakili wao wakati degree yake ya sheria pale Mlimani alipata PASS? Hata hiyo GPA ya 2.5 aliyonayo ni baada ya kula sup za kutosha na kusaidiwa na wadau.!

We uliwahi kuona wapi wakili analia hadharani, eti ana uchungu na mauaji ya albino kumbe kakwepa swali kijanja. Hamna kitu hapo bro. Ile kichwa ni NAZI!
 
Back
Top Bottom