Alivyokuwa anatangaza alikuwa na hallucinosis, its one of the side effects za abacavir
Alitumia masaburi kupata hayo mawazo. Anatakiwa kujiuzulu ili iwe fundisho kwa waropokaji kwani kwa jamii hadhi yake imeshuka kwani nikiongozi mropokaji na hakuna atakayekuwa anatekeleza maagizo yake kwa kujua hatafanywa loloteNi aibu kwa kiongozi mkubwa hivi kutoa maagizo,then baadae inaonekana ni mkwara mbuzi.
huyu ana matatizo huwa ana maamuzi ya ajabu sana.issue ya albino alipobanwa akalia mtu mzima hovyo!!issue ya jairo ni aibu tupu!hana ubavu wa kumuhoji hata mfagizi wa hosp sembuse kufukuza kazi doctors only because hajiamini hata kidogo