Na leo kabla ya kupata habari kuwa ulimboka kasavaivu, amesema bungeni kuhusu mgomo wa madaktari "liwalo na liwe"Duh!!!!you can connect the dots!!!
Ulimboka is a hero.Hivi madaktari walio katika mgomo watamtibia mwenzao ili hali walishasema hawafanyi kazi? Najaribu kufikiri tu.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
Hivi madaktari walio katika mgomo watamtibia mwenzao ili hali walishasema hawafanyi kazi? Najaribu kufikiri tu.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
Hakuna mtu wa kuweza kutimiza ahadi kwa serikali ya Kikwete.Mtoto wa mkulima yuko juu yaani amempiku baba Mwanaasha kwa kutimiza ahadi.