Inaelekea mkuu wewe ni mfuatiliaji wa udaku na bongo movie tu. Kiufupi tumekuacha ukichimba dawa na gari ikatia gea kuja kushtuka unaanza kuleta lawama.
taarifa zilizonifikia japo sijazibitisha ni kwamba waziri mkuu pinda amekubali yaishe kwenye kikao cha uongozi bungeni kilichodumu kwa zaidi ya masaa matatu. Stay tune
Taarifa zilizonifikia japo sijazibitisha ni kwamba waziri mkuu pinda amekubali yaishe kwenye kikao cha uongozi bungeni kilichodumu kwa zaidi ya masaa matatu. Stay tune
TETESI;AGREY MWANRI WAZIRI MKUU MPYA.
chanzo:hisia zangu na mke wangu.
KWA NINI CCM NA CHAMA CHAO WANAMWOGOPA SANA #CHENGE HATA AKIFANYA MADUDU "HE STILL STAY SAFE WHY?"/ktk kila scandal hakosekani!/NA BADO ANAVINJARI SOFTLY AND SAFE
LIZABON yupo nyuma ya nondo jana alitukana sana humu