Umempa heko, umetuambia Pinda ni humble, sasa iweje tena utuulize sisi kama Pinda ni humble? There we go again na matatizo ya Mtanzania ya kujieleza....
Wameenda mbali zaidi ya kuzomea, tusifumbie macho vurumai na jinai. Jamii ya watu wasiozoea law and order ndio inaona ni poa kwa kurushiana mawe baada ya kuzomeana. Ukitupa mawe kwenye magari ya Waziri Mkuu walinzi wake wangefanya wanachotakiwa kufanya tungekuwa tunaongea mengine saa hizi...
Kama kwa pinda ndo hivo kwa mkuu wa kaya itakwaje
To Honourable Wenje, congratulations. Your mission (Zomeazomea) was successful.
Strange logic this! Nasubiri walioko kwenye payroll (Majebere, Zoba & Co) waje hapa watoe maoni yao kuhusu hili la Pinda kukiri kuzomewa.
Ni kweli, ume doubt, huna hakika, kama Pinda ni humble, hujui. You want to say "Pinda's seeming humility is disarming." Ndio maana nasema sio tatizo kubwa sana la kukosa uelewa ila tu ni lile lile suala la kawaida la Mtanzania kutojua kujieleza kwa unyoofu. Usituambie habari za Pinda ni humble wakati unakiri hujui.Mimi kwa kweli naona kauli ya Pinda imejaa humility ...Kwa hiyo kufurahia muonekano wa humility ya Pinda si ajabu.... Lakini pia, najua kwamba ni vigumu kuamini ... hence the doubt....Hatukatazwi kuwa na doubt
Kosa ni kukubali kwamba walichokurithisha viongozi ndio hicho hicho kitakachoendelea kuwepo, utakufa katika nchi isiyokuwa na law and order kama ulivyozaliwa humo. Mimi nakataa! Naona ni mzigo wangu kuchangia kubalisha hali hiyo. Kiongozi amekufanya uzoe kutokuwa na law and order kiasi kwamba sasa hata huielewi wala huitaki. Mi sikubali, nina maono ya siku moja kuishi kwenye jamii inayojali law and order, kwa sababu nyumbani sikufundishwa utamaduni wa kupopoa mawe mtu usiyemkubali, nilifundishwa kwamba mababu zetu, Zinjanthropus, ndio walikuwa wasipokubaliana wanapopoana!Law and order Tanzania? Viongozi wameiminya Law and Order ndio maana nimekulia katika "jamii ya watu wasiozoea Law and Order" how is that my fault"?..... Walioanza kuvunja Law and Order ni hao viongozi. Kama unapenda sana Law and Order anza nao hao...
Hungry and angry does not justify criminality and anarchy. Tanzania is anything but desperate in terms of ways and means availbale to the people to express their disillusion with leadership, they vote every five years!Desperate times calls for desperate measures, and a hungry man is an angry man.
It doesn't have to be inevitable, you are wrong. I am denouncing the prevailing conditions that may lead to those worse situations, instead of sitting back twiddling my thumbs stating the so called inevitable. Bottom line is, it is dangerously ill-advised to ambush a premier's motorcade, not least because were the security detail to do what they were supposed to do the attackers could have been killed!I am not so much advocating this conduct as stating the inevitability of something even bigger and stranger happening.
Nani ana hakika?Ni kweli, ume doubt,
huna hakika, kama Pinda ni humble
hujui
You want to say "Pinda's seeming humility is disarming."
Ndio maana nasema sio tatizo kubwa sana la kukosa uelewa
ila tu ni lile lile suala la kawaida la Mtanzania kutojua kujieleza kwa unyoofu. Usituambie habari za Pinda ni humble wakati unakiri hujui.
Language is a process of free creation; its laws and principles are fixed, but the manner in which the principles of generation are used is free and infinitely varied. Even the interpretation and use of words involves a process of free creation.
Kosa ni kukubali kwamba walichokurithisha viongozi ndio hicho hicho kitakachoendelea kuwepo,
utakufa katika nchi isiyokuwa na law and order kama ulivyozaliwa humo.
Mimi nakataa!
Naona ni mzigo wangu kuchangia kubalisha hali hiyo.
Kiongozi amekufanya uzoe kutokuwa na law and order kiasi kwamba sasa hata huielewi wala huitaki.
Mi sikubali,
nina maono ya siku moja kuishi kwenye jamii inayojali law and order,
kwa sababu nyumbani sikufundishwa utamaduni wa kupopoa mawe mtu usiyemkubali, nilifundishwa kwamba mababu zetu, Zinjanthropus, ndio walikuwa wasipokubaliana wanapopoana!
Hungry and angry does not justify criminality and anarchy.
Tanzania is anything but desperate in terms of ways and means availbale to the people to express their disillusion with leadership, they vote every five years!
It doesn't have to be inevitable, you are wrong. I am denouncing the prevailing conditions that may lead to those worse situations, instead of sitting back twiddling my thumbs stating the so called inevitable. Bottom line is, it is dangerously ill-advised to ambush a premier's motorcade, not least because were the security detail to do what they were supposed to do the attackers could have been killed!
Ni unafiki tu,kwanini hawakumwuliza mbona ulisema "Liwalo na liwe"?Duh! Anatishika na kuzomewa lakini hatishiki na maisha ya ufukara wa kutisha wanayoishi Watanzania wengi!!! pamoja na kuwa nchi ina utajiri mkubwa wa rasilimali. Hakutishika alipotoa kauli ya kushangaza kuhusiana na mafisadi wa EPA kwamba, "Wezi wa EPA ni matajiri wakubwa sana nchini, kama wakikamatwa nchi itawaka moto."
Hivi huyu anaishi nchi ipi ambayo hajui kama Watanzania walio wengi hawaridhishwi na utendaji wa Serikali kwenye kila sekta uchumi, uhamiaji, sheria, afya, elimu, huduma muhimu n.k.? Kama alivyosema Mkuu Kiranga naunga mkono kuzomea zomea viongozi wote wa magamba na Serikali ambao kwa njia moja au nyingine ndio wanakuwa kikwazo kikubwa cha maendeleo nchini.
Leo hii kwenye habari magazetini tuongee asubuhi RFA Waislamu wa mkoa wa mwanza wamemuomba radhi waziri mkuu wa jamuhuri yamuungano wa tanzania mizengo k.p.pinda kwa kitendo cha kuzomewa na kuporomoka kwa maadili kwa baadhi ya wananchi hapa tanzania.
Hivi kwa nini Bakwata wanapenda kutumika hivi? Sasa ndiyo namwelewa Sheikh Ponda.