Nahisi kuwa watu wa usalama, au washauri wa viongozi wetu wakuu sasa mmezidi kukosea, na kuwakosesha viongozi.
Mizengo Pinda Waziri Mkuu anahutubia Bunge ili kuahirisha na kudanganya kuwa Askofu Amedeus Msarikie AMEFARIKI USIKU WA KUAMKIA LEO, wakati hata stori za kuhusu kifo hicho zimekuwa kwenye Mitandao tangu jana, vipi viongozi hawa?
Kweli ndio Maana Rais alisema MwanaHALISI limeandika habari za wanajeshi kuasi. Kwa kuwa vijana wetu wanaolipwa na kula ubwabwa wa serikali hawafanyi kazi, tunawatumia tangazo lililotolewa na Baraza la Maaskofu Tanzania tangu jana, kuwa Askofu alifariki Usiku wa kuamkia jana, sio usiku wa kuamkia leo kama Waziri Mkuu anavyodanganya Bungeni.....
... vipi TBC leo ipo Analogy mbona matangazo hayo pamoja na kuwa yanadanganya yanakatikakatika, au wanataka tusiunganishe sentensi za kudanganywa?