Pinda adanganya tena bungeni

Pinda adanganya tena bungeni

Sasa sisi inatuhusu nini kafa jana au leo watu wengine munakosaga vitu vya kuandika mtu akifa akazikwe huu mfumo kristo sijui utakwisha lini eti bunge linatangaziwa askofu fulani kafariki "IGNORANT PEOPLE"

Na wewe utu..kome, wakristo tumeingiaje huko? Udini unakusumbua. Na wewe muue sheikh uone kama Pinda hatotangaza bungeni....watu wengine bana!!!!
 
Kwa kweli ni muhimu sana jukwaa hili likatenga uzi maalum kujadili 'uongo' wa waziri mkuu, maana askofu hakufariki muda huo aliosema waziri mkuu. Naomba CDM iandae maandamano ya nchi nzima kuonesha hili ili nchi yetu izidi kusonga mbele...pipooooooooozzzz

Na wewe akili zako sijui za cho..oni!!! Unajidai kutuzuga kuwa na wewe ni mwanaCHADEMA kwa kusema peopleeeez.....! Hauna lolote, sasa CHADEMA na hayo aliyoyasema Pinda yanahusiana nini? Kama hauna hoja sio lazima kuchangia, unaweza ukasoma mawazo ya wengine ukapotezea....!
 
Huyu mfalme wa Nyuki hana maana kabisa amezoea kusema uongo alafu akibanwa anajifanya kulia juzi ametudanganya kwamba amemaliza mgogoro wa Gesi kule Mtwara kumbe hakuna lolote ni uongo mtupu na ukijaribu kwenda tena Mtwara watakupokea kwa mishale wananchi wamechoka na uongo wako
 
Kuna ukoo mwingine ulipinda tokea kwao, ndio maana wakaitwa akina pinda.

Akidanganya sio ajabu sababu kapinda
 
Back
Top Bottom