Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,021
- 9,177
T A N Z I A
Angetamka kuwa Shekhe Ponda amewekwa mahabusu toka juzi kwako ingekuwa sawa tuu? Basi ni mjinga kama kupotosha habari kwako ni sawa
Sasa sisi inatuhusu nini kafa jana au leo watu wengine munakosaga vitu vya kuandika mtu akifa akazikwe huu mfumo kristo sijui utakwisha lini eti bunge linatangaziwa askofu fulani kafariki "IGNORANT PEOPLE"
MJEPU hapo nilikoweka Bluu, na wewe unahusika. Suala la Waziri Mkuu kudanganya, na tangazo ambalo limetolewa, linahusu nini na CDM?, na waandamane kwa suala gani hapa? Any way wapo watakujibu!
T A N Z I A
Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania Mhashamu Askofu Tarsicius Ngalalekumtwa, anasikitika kutangaza kifo cha Mhashamu Askofu Mstaafu Amedeus Msarikie, wa Jimbo Katoliki Moshi, kilichotokea alfajiri ya leo saa 10.30 katika hospitali ya Nairobi. Habari ziwafikie Maaskofu Wakatoliki wote Tanzania, Mapadre, Watawa, walei wote, ndugu, jamaa na marafiki. Mipango ya Mazishi inafanywa. Marehemu Askofu Mstaafu Amedeus Msarikie alizaliwa katika kijiji cha Makunduchi Kirua Vunjo katika Mkoa wa Kilimanjaro mwaka 1931, alipata Daraja Takatifu la Upadri tarehe 08 Agosti, 1961 na akateuliwa na Baba Mtakatifu Yohane Paul II kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki Moshi tarehe 04 April, 1986. Aliwekwa Wakfu kuwa Askofu wa Moshi tarehe 01 Mei, 1986 Jimboni Moshi. Alistaafu rasmi kama Askofu wa Moshi kwa mujibu wa sheria za Kanisa mwaka 2007. Amefariki dunia leo tarehe 07 Februari, 2013 akiwa na umri wa miaka 82 ya kuzaliwa, 52 ya Upadri na 27 ya Uaskofu. APUMZIKE KWA AMANI!![]()
Moderator mnaruhusu vipi ujinga kama huu kuandikwa hapa JF?
Ameleweshwa na ASALI!!kalamba nyingi
Sasa sisi inatuhusu nini kafa jana au leo watu wengine munakosaga vitu vya kuandika mtu akifa akazikwe huu mfumo kristo sijui utakwisha lini eti bunge linatangaziwa askofu fulani kafariki "IGNORANT PEOPLE"
Moderators nao wanaona hili ni jambo linalostahili kujadiliwa kwa uzito mkubwa sana, tunafanya mpango kuhakikisha kamati kuu ya CDM inakutana kulijadili hili.
Sasa sisi inatuhusu nini kafa jana au leo watu wengine munakosaga vitu vya kuandika mtu akifa akazikwe huu mfumo kristo sijui utakwisha lini eti bunge linatangaziwa askofu fulani kafariki "IGNORANT PEOPLE"
Tusijadili dini za watu kwenye jamvi, hebu tujielekeze kwenye kauli ya Waziri Mkuu na Tangazo lilivyo. Kupuuza mambo kumbukeni kila linalotamkwa linaingia katika hansard za Bunge, siku moja watatamka kitu tofauti sana na kinaweza kuwa na madhara. Tahadhari iliyotolewa haina nia mbaya, ila inaonesha pia watu wanaomwandalia hayo maandishi sio makini. na Yeye husoma pasipo kuangalia uhalisi wa jambo au tukio lililozungumziwa[/QUOTE]
Waziri Mkuu sio Masiha wa kujua kila kitu, taarifa nyingine hupewa na wasaidizi wake, na sidhani kama kuna haja ya kila anachoambiwa na wasaidizi wake aanze kufuatilia usahihi wake na ndio maana ya kuwa na wasaidizi ikimaanisha kwamba binadamu hajui kila kitu.Ushauri ninaotoa au mwandishi angeshauri msaidizi aliyemwandikia taarifa hiyo amuwajibishwe kwa kumpotosha na kumfedhehesha PM na sio kumlaumu PM.
Jamani huu nao ni mtaji??
Nahisi kuwa watu wa usalama, au washauri wa viongozi wetu wakuu sasa mmezidi kukosea, na kuwakosesha viongozi.
Mizengo Pinda Waziri Mkuu anahutubia Bunge ili kuahirisha na kudanganya kuwa Askofu Amedeus Msarikie AMEFARIKI USIKU WA KUAMKIA LEO, wakati hata stori za kuhusu kifo hicho zimekuwa kwenye Mitandao tangu jana, vipi viongozi hawa?
Kweli ndio Maana Rais alisema MwanaHALISI limeandika habari za wanajeshi kuasi. Kwa kuwa vijana wetu wanaolipwa na kula ubwabwa wa serikali hawafanyi kazi, tunawatumia tangazo lililotolewa na Baraza la Maaskofu Tanzania tangu jana, kuwa Askofu alifariki Usiku wa kuamkia jana, sio usiku wa kuamkia leo kama Waziri Mkuu anavyodanganya Bungeni.....
... vipi TBC leo ipo Analogy mbona matangazo hayo pamoja na kuwa yanadanganya yanakatikakatika, au wanataka tusiunganishe sentensi za kudanganywa?
Kwa kweli ni muhimu sana jukwaa hili likatenga uzi maalum kujadili 'uongo' wa waziri mkuu, maana askofu hakufariki muda huo aliosema waziri mkuu. Naomba CDM iandae maandamano ya nchi nzima kuonesha hili ili nchi yetu izidi kusonga mbele...pipooooooooozzzz
Hivi mtu akikuita taahira utalalamika?
Sintolalamika iwapo mtu huyo ni shoga, mliwa kisamvu na kopo na mnyonya mikwaju maarufu.