Pinda abadili upepo wa CCM urais 2015

Pinda abadili upepo wa CCM urais 2015

huyo mpinda wa kwenu ccm ila sie wananchi chini ya ukawa tunaye wa kwetu siku nyingi
 
Kumjadili pinda ni rahisi sana.
...Yeye ni waziri mkuu, amefanya lipi la maana ?
Madawa ya kulevya, pembe za tembo, anguko la elimu, ufisadi, au lipi alilofanya ?
 
Dr Slaa aliwahi kusema matatizo tunayopata kutokana na kila mmoja kujiona anafaa kuwa rais ni matokeo ya rais aliyepo kushusha hadhi ya urais. Baada ya Pinda kutumbukia kwenye kinyang'anyiro eti wazanzibar wanasema hafai kwa sababu aliwahi kusema Zanzibar siyo nchi.

Binafsi pamoja na kuamini Zanzibar siyo nchi lakini wako sahihi maana pamoja na kutoa kauli hiyo Zanzibar walivunja katiba ya Jamuhuri ya muungano kutamka kwenye ibara ya kwanza ya katiba yao kwamba Zanzibar ni nchi. Alikuwepo na aliapa kulinda katiba hiyo hiyo iliyovunjwa kwa hasira za kauli yake, alinywea kutoa kauli yoyote mpaka leo.

Ametoa kauli mbili za kuvunja katiba, pale alipotaka wanaoua albino wauawe na kauli kwamba wasiotii amri za polisi "wapigwe tu". Hatuwezi kuwa na rais asiyeweza ku-control mdomo wake. Hebu fikiria kauli hizo tata angezitoa akiwa rais na ukizingatia marais wetu Afrika huwa hawaombi radhi kufuatia kauli zao za hovyo ingekuwaje?

Tumeona bunge la katiba likivurugika tokana na kauli za Kikwete, sasa Pinda asiyeweza kupima kauli zake anautaka urais. Sasa nimeani rasmi Ccm hawana mgombea bora, Kigwangala! Ngeleja! Makamba! Lowassa!! Pinda! Mwalimu alikufa na Ccm hii ni Ccm akademia.
Mbona mnahaha sana na Pinda? Nyie kila mtu akitangaza nia ni adui yenu. Kweli siwaelewi kambi ya luwasa Ina mushkel kubwa.hawalali usiku kucha.
 
Nani awe kambi ya fisadi toka chama chakavu!
 
ha ha ha ha h haaa.,,,,,,,,,, kitu mkulimaaaaaaaaaaaa
 
Nasema na wapigwe tu.. Pinda for presidency vote..yaanai hii inchi kila mtu anataka uraisi... Ccm hawajielew kabisa
 
Angalieni banaa msije pigwa hadi humuu ndani! 🙂
 
Unzuri wa CCM ni kuwa, kila mtu anahaki ya kuonyesha nia, na wala si dhambi au usaliti.
 
ni haki yake katiba ina mruhusu na hakika anaweza tatizo watu tuangalia zaidi mabaya kuliko mema mimi bado nina inani sana na sio mm tu wananchi wengi wanajua uwezo wa waziri mkuu Pinda na kama kuna sehemu alikose yeye si malaika alikosea na amefanya mengi mazuri na anastahili kabisa kua rais anayo hekima na anauwezo ma maamuzi magumu pia ni rais gani aliyepita alikua na maamuzi magumu na je alifanikisha yapi na je alikosea wapi na je ni rais gani duniani hajawahi kukosea??? mimi naona ni ubinafsi na kutomia akili nyingi kufikiri na kukumbuka aliyofanya..
matakwa ya ubinafsi kila mtu hafai kua rais wa nchi hii au hata mjumbe wa nyumba kumi tumekua wataalam wa kuchafua wengine ili kujitengenezea nafasi za sisi kua wasafi. baya moja tunahukumu kwa baya hilo tu kama sio unafki hapa sifieni na mazuri pia kuna punguwani kasema waziri mkuu Pinga hakuna alilofanya lolote ktk uwaziri mkuu wake ni sawa na mwenye shibe aliyesahau kua baada ya muda atasikia njaa nikimaanisha ana akili fupi za kufikiri tu kama sio kuona mbali ama kukumbuka wajaona hana analojua anaropoka tu. Pinda ana sifa na anaweza kuwa Rais akipata nafasi anaweza kutuonyesha kua anaweza. wengi wanaweza na hata Pinda naye anaweza. na la zaidi ni kwamba wazanzibari watambue kua kauli yake haijabadili katiba na mchakato wa katiba ukikamilika katiba ndio itasema Pinda sio malaika cha msungi ni sera na ilani atakayoitumia na kutekeleza kwa mujibu wa katiba acheni hoja za uzanzibar na u tanganyika kumtoa sifa mtubambaye fika mnajua anaweza.. hio ni roho mbaya hata huyo wewe unayemuona anafaa pia ana mapungufu ila kwakua unaona kuna unayemtaka wewe kwa matakwa yako unatumia hila kuchafua wengine ni kufilisika kimawazo kama hajatenda wema ktk ukoo wako katenda mema koo zingine.. acheni ubinafsi na usisi ni ujinga usiokua na maana. kila mtu anapewa muongozo na kipawa na Mwenyezi Mungu wewe una kidiss who are u??? viva Pinda unaweza kama ulivyoweza kua waziri miaka mingi bila kuharibu na kisha ukasimama imara ktika uwaziri mkuu kama kuna mahali uliteleza ilikua ni haki yako kama binadamu ulikosea na wewe si malaika pamoja na hayo umefanyabmakubwa sana nchii ni wapuuzi wachache ambao wanatembea kwenye mwanga lakini hawaoni..
 
Tatizo siyo JK.tatizo ni sisi watanzania hatujui haki zetu na wachache wanaojua ama wamezidiwa na wajinga wengi au waoga kupigania haki yao.Kwa nchi ya namna hiyo (YA WAJINGA) Duniani mtu yeyote anaweza kutawala na asipate shida.

Nakubaliana na wewe kiasi flani.
 
ni haki yake katiba ina mruhusu na hakika anaweza tatizo watu tuangalia zaidi mabaya kuliko mema mimi bado nina inani sana na sio mm tu wananchi wengi wanajua uwezo wa waziri mkuu Pinda na kama kuna sehemu alikose yeye si malaika alikosea na amefanya mengi mazuri na anastahili kabisa kua rais anayo hekima na anauwezo ma maamuzi magumu pia ni rais gani aliyepita alikua na maamuzi magumu na je alifanikisha yapi na je alikosea wapi na je ni rais gani duniani hajawahi kukosea??? mimi naona ni ubinafsi na kutomia akili nyingi kufikiri na kukumbuka aliyofanya..
matakwa ya ubinafsi kila mtu hafai kua rais wa nchi hii au hata mjumbe wa nyumba kumi tumekua wataalam wa kuchafua wengine ili kujitengenezea nafasi za sisi kua wasafi. baya moja tunahukumu kwa baya hilo tu kama sio unafki hapa sifieni na mazuri pia kuna punguwani kasema waziri mkuu Pinga hakuna alilofanya lolote ktk uwaziri mkuu wake ni sawa na mwenye shibe aliyesahau kua baada ya muda atasikia njaa nikimaanisha ana akili fupi za kufikiri tu kama sio kuona mbali ama kukumbuka wajaona hana analojua anaropoka tu. Pinda ana sifa na anaweza kuwa Rais akipata nafasi anaweza kutuonyesha kua anaweza. wengi wanaweza na hata Pinda naye anaweza. na la zaidi ni kwamba wazanzibari watambue kua kauli yake haijabadili katiba na mchakato wa katiba ukikamilika katiba ndio itasema Pinda sio malaika cha msungi ni sera na ilani atakayoitumia na kutekeleza kwa mujibu wa katiba acheni hoja za uzanzibar na u tanganyika kumtoa sifa mtubambaye fika mnajua anaweza.. hio ni roho mbaya hata huyo wewe unayemuona anafaa pia ana mapungufu ila kwakua unaona kuna unayemtaka wewe kwa matakwa yako unatumia hila kuchafua wengine ni kufilisika kimawazo kama hajatenda wema ktk ukoo wako katenda mema koo zingine.. acheni ubinafsi na usisi ni ujinga usiokua na maana. kila mtu anapewa muongozo na kipawa na Mwenyezi Mungu wewe una kidiss who are u??? viva Pinda unaweza kama ulivyoweza kua waziri miaka mingi bila kuharibu na kisha ukasimama imara ktika uwaziri mkuu kama kuna mahali uliteleza ilikua ni haki yako kama binadamu ulikosea na wewe si malaika pamoja na hayo umefanyabmakubwa sana nchii ni wapuuzi wachache ambao wanatembea kwenye mwanga lakini hawaoni..

Jaribu kutumia maneno machache yenye facts !
 
Pinda akiwa rais ni viboko tu tutapigwa tu, afadhali akina Lowasa angalau amejifunza mengi sijapata kumuona na kibri cha dhahiri kama alivyo Pinda na Sitta.
 
Pinda pia anayo maamuzi magumu sana ni kwakua hakua na wakati wa kuonyesha hayo kiuwezo anaweza na ni haki yake kikatiba na inamruhusu na hata sifa za kawaida za uongozi na uadilifu pia anaweza..
 
Back
Top Bottom