Naanza kuamini taratibu CCM hawana mgombea 2015.
Bila kusahau wote ni Wa Gonjwa na Dhaifu wa Afya ya Mwilo
Halafu inasemekana jamaa ni mgonjwa
hivyo akiwa rais atakuwa kiguu na njia kwenda nje for treatment purposes
Hakuna aliyekamilika si ndani ya ccm wala chama chochote utakachokiunga mkono wewe usomaye post hii.
Nalog off