JS and Shapu, a few hours ago nilikuwa nauimba na kucheza nao kwenye tv. Yaani siku hizi hata ukikutana na jitu on business, linakuuliza bbm pin ama fb name! Wanadhani kila mtu ana akili matope ya kujianika kwenye social networks! Kha!
Shapu, ukiona wanavyoucheza utapenda,lol