Hiyo unayosema wewe manake unakuwa unatoa tu hewa baada ya kuwa ulishaijaza.Wapiga nduru mpo..🤣 ukitaka ubane pumzi muda mrefu ijaze kwanza then bana unaweza toboa kumi hiyo tano mbona chamtoto..
terrible kumbe naumwa, nimefika mbili tuBut don’t over do it beyond your ability.
View attachment 1788066